KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia.
Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa waliokuwa wanamfahamu Mwalimu ndivyo hivyo kizazi kijacho kitakavyo kuwa na hamu ya kumjua zaidi Rais Samia kutoka kwetu.
Na hapa nawaza kama Mimi ndio mjukuu namuuliza Babu yangu ambaye anaishi sasa ameushuhudia utawala wa Rais Samia:
Ningemuuliza babu yangu Rais Samia ni nani hasa? Ningejibiwa kuwa ni....
Ningeendelea kuuliza , Je alifanya yepi hasa? Ningejibiwa alifanya Moja, mbili, tatu...
Ningeendelea kuuliza, alikuwa ni kiongozi mzuri eeeh na kivipi? Ningejibiwa, alikuwa ni mzuri Kwa sababu Moja, mbili.
Na ningemalizia kwa kusema " HERI WAO WALIOUSHUHUDIA UTAWALA WA RAIS SAMIA MAANA WANA MENGI WA KUYAKUMBUKA NA KUYAENZI JUU YAKE.
Nimegundua yafuatayo:
Inawezekana waliokuwa wanampinga Mwalimu kwa misimamo yake wangekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma basi wangerudisha Muda ili wamwambie Mwalimu tumekosea.
Maisha ya Mwalimu yanakumbukwa na ambao hawamfahamu wala hawajawahi kumuona kwa macho lakini wanaomsoma na kusimuliwa tu.
Wakati ni Sasa:
Kabla ya kizazi kingine kuja kutambua mazuri ya Rais Samia ,wakati ni Sasa wa kuyambua na kuyaelezea.
Wakutambua kuwa Rais Samia ndio Rais wa kesho wa Tanzania na ataenziwa Kwa mazuri tu.