Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Mmh Mmh Mmh bora nilale tu home. Nyie watu 2 hamfai hata kwa kusukutua. Na ile budget yenu ya buku 10 akhuuu mtaniua kwa mihogo. Naenda kwa jirani kugongea spray ili nitoke na my kaka mito

Eeh ntatembea tu bila tei tei

Karibu sana mpendwa

Hahahaaaa! Unafukia mihogo ukirudi unakuwa bright zaidi
 
Last edited by a moderator:
sumbai Thanks mkuu..Karibu kwenye tafrija..Uje na kiingilio,msosi na vinywaji vyako..The rest tutagharamia wenyewe

Kwakweli huyo aje tu na vyakula na vinywaji vyake maana hamna namna.
Mmmmh!! Huo mwaliko balaa!
 
Last edited by a moderator:
Kaboom mimi namletea kanyelamomo tuu...

hiyo keki hamuimalizi...
 
Last edited by a moderator:
Mwanaune bazazi wewe sina hamu na wewe, ukanidanganya mtoto wa watu na tumaneno twako kaone vile, na dubai yenyewe nikaishia kuisikia kwenye bomba!! :thumbdown:
Teh teh..Sahau kuhusu Dubai..Dubai kumekuwa yeboyebo..Ntakupeleka beach flani amazing
 
Duuh..Siku zinakatika aisee..Kama zimesikia mdundo wa ekotite..Nilishasahau kama leo ndo siku yako ya kuzaliwa Douta..Huu uzee unanipeleka vibaya..Thnx Mupenzi atoto kwa kunikumbusha...

Hbd my Douta,baby,princess,love n.k...Najivunia kuwa na ww...Havin u is the greatest gift i ever had...Have a royal time...Daddy loves u mingi
And you are the best thing ever happened to me pops. Thanks heartthrob for the wonderful genes and the young lady you have made out of me. I just love you with every fibre of my being

atoto hope umejua why I'm this msweety, it's in our blood. We were just born romantic.
 
Last edited by a moderator:
And you are the best thing ever happened to me pops. Thanks heartthrob for the wonderful genes and the young lady you have made out of me. I just love you with every fibre of my being atoto hope umejua why I'm this msweety, it's in our blood. We were just born romantic.

Wezi tu nyie, baba yako alivyonirubuni na maneno yake matamuuu nikaishia kukopwa tu, siyaki hata kumsikia japo nampenda.
 
Last edited by a moderator:
Wezi tu nyie, baba yako alivyonirubuni na maneno yake matamuuu nikaishia kukopwa tu, siyaki hata kumsikia japo nampenda.
"We are very sweet, very nice... If you check our bank accounts. ......
 
Kwakweli huyo aje tu na vyakula na vinywaji vyake maana hamna namna.
Mmmmh!! Huo mwaliko balaa!
Ye na mke wake wanaweza kumaliza kreti la bia bila kulewa..Sasa tabu nn?
 
Back
Top Bottom