Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ahsante sana mpendwa ila umenidogosha huo umri mweeHongera Heaven Sent kwa kutimiza miaka 18!!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mpendwa ila umenidogosha huo umri mweeHongera Heaven Sent kwa kutimiza miaka 18!!
Mmh Mmh Mmh bora nilale tu home. Nyie watu 2 hamfai hata kwa kusukutua. Na ile budget yenu ya buku 10 akhuuu mtaniua kwa mihogo. Naenda kwa jirani kugongea spray ili nitoke na my kaka mito
Eeh ntatembea tu bila tei tei
Karibu sana mpendwa
Thanks much babu, hope I am; and will always do my name justice
Teh teh..Sahau kuhusu Dubai..Dubai kumekuwa yeboyebo..Ntakupeleka beach flani amazingMwanaune bazazi wewe sina hamu na wewe, ukanidanganya mtoto wa watu na tumaneno twako kaone vile, na dubai yenyewe nikaishia kuisikia kwenye bomba!! :thumbdown:
And you are the best thing ever happened to me pops. Thanks heartthrob for the wonderful genes and the young lady you have made out of me. I just love you with every fibre of my beingDuuh..Siku zinakatika aisee..Kama zimesikia mdundo wa ekotite..Nilishasahau kama leo ndo siku yako ya kuzaliwa Douta..Huu uzee unanipeleka vibaya..Thnx Mupenzi atoto kwa kunikumbusha...
Hbd my Douta,baby,princess,love n.k...Najivunia kuwa na ww...Havin u is the greatest gift i ever had...Have a royal time...Daddy loves u mingi
Teh yani nilitanguliza sura, afu nikanyanyua kimdomo "mmmmmh" nikapigwa selfie languMweeeh! Hili toto majanga!
And you are the best thing ever happened to me pops. Thanks heartthrob for the wonderful genes and the young lady you have made out of me. I just love you with every fibre of my being atoto hope umejua why I'm this msweety, it's in our blood. We were just born romantic.
Khaa mshindweeee na mpotelee huko hukoHahahaaaa! Unafukia mihogo ukirudi unakuwa bright zaidi
"We are very sweet, very nice... If you check our bank accounts. ......Wezi tu nyie, baba yako alivyonirubuni na maneno yake matamuuu nikaishia kukopwa tu, siyaki hata kumsikia japo nampenda.
Ye na mke wake wanaweza kumaliza kreti la bia bila kulewa..Sasa tabu nn?Kwakweli huyo aje tu na vyakula na vinywaji vyake maana hamna namna.
Mmmmh!! Huo mwaliko balaa!
Teh hapa ni mziki tu, selfie na story. Chakula kila mtu kwaoKwakweli huyo aje tu na vyakula na vinywaji vyake maana hamna namna.
Mmmmh!! Huo mwaliko balaa!
Thanks kipenziHappy birthday Heaven Sent
teh teh..Binti yangu wa kishua..Avai hizo