Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Ngoja nimuulize bibi kwanza....Hii xmass ya msukuma inanichanganya kabisa.....

Ila titafika tu!

Hahahaaaa! Msukuma kaharibu pilau tunazisikia tuu, mie hadi sasa hata mualiko wa bibi sijapata!!
 
Duuh..Siku zinakatika aisee..Kama zimesikia mdundo wa ekotite..Nilishasahau kama leo ndo siku yako ya kuzaliwa Douta..Huu uzee unanipeleka vibaya..Thnx Mupenzi atoto kwa kunikumbusha...

Hbd my Douta,baby,princess,love n.k...Najivunia kuwa na ww...Havin u is the greatest gift i ever had...Have a royal time...Daddy loves u mingi
 
Last edited by a moderator:

Kumbe una maneno matamu hivi? Never knew yo such a darling!🙄
 
Last edited by a moderator:
Teh teh..Hayo si ndo yalikuingiza box mamito..Umesahau?

Mwanaune bazazi wewe sina hamu na wewe, ukanidanganya mtoto wa watu na tumaneno twako kaone vile, na dubai yenyewe nikaishia kuisikia kwenye bomba!! :thumbdown:
 
sumbai Thanks mkuu..Karibu kwenye tafrija..Uje na kiingilio,msosi na vinywaji vyako..The rest tutagharamia wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ngoja niazime gari la RRONDO tuje tukuchukue tukale mihogo, ole wako useme unakabwa
Mmh Mmh Mmh bora nilale tu home. Nyie watu 2 hamfai hata kwa kusukutua. Na ile budget yenu ya buku 10 akhuuu mtaniua kwa mihogo. Naenda kwa jirani kugongea spray ili nitoke na my kaka mito
Kanyera mumo ndio komesha yako, ukivua na hiyo basi itabidi tu uzurure na hivyo hivyo hatuhangaiki tena
Eeh ntatembea tu bila tei tei
Naomba nije nikupe pongezi mtumishi.
Karibu sana mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom