Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Bora tu ulizaliwa kwakweli, maana!!

Hahahaaaa! Unakosa vitamu wewe, mihogo ni mitamu asikwambie mtu.
Haya huo utamu uleni tu wote, me Sitaki kukabwa koo

Acha tu daddy angu ajivunie libinti kama mimo
 
Kabisa, hela zina matumizi mengi, mwisho wa mwaka wenyewe mgumuuu
Teh na huyu uncle magu mwee. Ila msisahau kuja na zawadi maana zawadi yako ndo kiingilio chako.and u beta come with a wonderful gift, maana ukija na isiyoridhisha huingii
 
"We are very sweet, very nice... If you check our bank accounts. ......

Daah kwenye hicho kipengele nimewanawa, alikuja na gear ya dubai, na hivyo ndege naziona kwenye picha tu acha nidate mjaluo mie, nikajikuta nishaingia miguu na kiwiliwili chooote, kuibuka ilinichukua muda kweli, lkn bado nikajitoa ila moyo ukabaki huko huko, hamfai nyie!
 
Hahaha wewe si ndege mjanja, basi kiota chako kipo kwa daddy. Sie ndo wanyaki
 
And you are the best thing ever happened to me pops. Thanks heartthrob for the wonderful genes and the young lady you have made out of me. I just love you with every fibre of my being

atoto hope umejua why I'm this msweety, it's in our blood. We were just born romantic.
Thanks Douta..U make me feel like i am the only faza in the world..Btw Paulo Sergio De Souz mbona simuoni siku hizi..Any taarifa
 
Last edited by a moderator:
Teh na huyu uncle magu mwee. Ila msisahau kuja na zawadi maana zawadi yako ndo kiingilio chako.and u beta come with a wonderful gift, maana ukija na isiyoridhisha huingii

We mtoto koma, mie ndio nimeandaa karamu ujue japo hela alitoa baba yako😀
 
Thanks Douta..U make me feel like i am the only faza in the world..Btw Paulo Sergio De Souz mbona simuoni siku hizi..Any taarifa
And you will always be my darling pops, in this life and the next. Paulo yupo akiingia tu utamuona
We mtoto koma, mie ndio nimeandaa karamu ujue japo hela alitoa baba yako😀
Hahaha labda kama umeandaa penseli (kalamu)
Na ujanja wangu wooooote nikaishia kunasa kwa huyu chotara wa kinyaki tena free p!! Daaah sitaki tenaaa kuwasikia.
You can't resist us, tunapendwa tu hata kama ni kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bwana paulo yupo nyumbani anafua nepi tu, chezea mnyaki wewe!
unaona raha kunichafuaaaa
Hahaha..Binti yangu sio Van damme kiasi hicho
Ana hila huyo ex mkeo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom