Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Uzee kama ATM haisomi bana, we mwambie kylin machache mzee kama atakuelewa!!

April fools ndo nzuri mkija hakuna pilau hamlalamiki cozi ni funny day
Hahaha Ahsante My kaka mwenye wallet yake.

Na dada zako tutakufurahisha kweli na April fools. Unatujua vizuri
 
Habari wanajamii forum:

Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita.

Mpendwa napenda nikutakie heri na fanaka katika siku yako maalumu ya kuzaliwa, na zaidi zaidi Mungu akujaalie baraka zaidi na akutimizie yaliyo mema katika maisha yako, tena akupe kila lililo hitaji la moyo wako na akufanye the best of best.
Sweetie yo the best.
Kaboom hongera kwa kukuza mpenzi, kaka mito leo makavu pembeni mtoto asijelia, Evelyn Salt gelofrend wako anataka pampers, Paulo Sergio De Souz tafadhali usimfuje huyu mtumishi wa Mungu, everlenk mwambie Eli79 leo ni maombi tu, sumbai muachie biashara cute b kwa leo uje tujumuike pamoja.

Karibuni wapendwa tujumuike kumpongeza na kumtakia heri mpendwa wetu Heaven Sent katika siku yake ya kuzaliwa.

Happy birthday Heaven Sent...
afu atoto nani alikupa mamlaka ya kumilikisha ndoa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom