mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Aah wewe hufanyi birthday ila tuambie tu ikifika afu uone dada zako tunavyokujali
Tatizo tar ndg yangu, wazazi wangu nao haijui, teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah wewe hufanyi birthday ila tuambie tu ikifika afu uone dada zako tunavyokujali
Ulivyo mroho pyee, gutambi na mishavu inakuhusuHahahaaaaa! Nimekununulia cerelac makopo 10, ila nahisi 6 nitakula mimi maana ni tamu jamani.
Haha asiweke hata mwaka, iwe tu tarehe 1/4 basiBasi tufanye ulizaliwa tarehe 1/4/1929
Basi tufanye ulizaliwa tarehe 1/4/1929
Haha asiweke hata mwaka, iwe tu tarehe 1/4 basi
Hahaha uzee mwisho mpakani hukoMwaka ondoa bana, huna lo lote shida yako nionekane babu tu!!
Sawa April fools inakuhusuHapo sawa.....
Hahaha uzee mwisho mpakani huko
Sawa April fools inakuhusu
Hahaha Ahsante My kaka mwenye wallet yake.Uzee kama ATM haisomi bana, we mwambie kylin machache mzee kama atakuelewa!!
April fools ndo nzuri mkija hakuna pilau hamlalamiki cozi ni funny day
Thanks Douta..U make me feel like i am the only faza in the world..Btw Paulo Sergio De Souz mbona simuoni siku hizi..Any taarifa
Thanks darlinHappy birthday darlin Heaven Sent,
May all your wishes come true.
Habari wanajamii forum:
Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita.
Mpendwa napenda nikutakie heri na fanaka katika siku yako maalumu ya kuzaliwa, na zaidi zaidi Mungu akujaalie baraka zaidi na akutimizie yaliyo mema katika maisha yako, tena akupe kila lililo hitaji la moyo wako na akufanye the best of best.
Sweetie yo the best.
Kaboom hongera kwa kukuza mpenzi, kaka mito leo makavu pembeni mtoto asijelia, Evelyn Salt gelofrend wako anataka pampers, Paulo Sergio De Souz tafadhali usimfuje huyu mtumishi wa Mungu, everlenk mwambie Eli79 leo ni maombi tu, sumbai muachie biashara cute b kwa leo uje tujumuike pamoja.
Karibuni wapendwa tujumuike kumpongeza na kumtakia heri mpendwa wetu Heaven Sent katika siku yake ya kuzaliwa.
Hahaha Ahsante My kaka mwenye wallet yake.
Na dada zako tutakufurahisha kweli na April fools. Unatujua vizuri
Ahsante mno mwandishi kiwatengu