Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,

ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna.

Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au mtapotezea TU ndugu zangu utopolokwinyo??

Happy birthday mtani, tukutane baadae kuona soka safii la kuisindikiza siku yenu hii muhimu leo

1739255118443.png
 
Keki mliyokua muikate jana baada ya mchezo dhidi ya JKT mlienda kuitupa wapi?
 
Back
Top Bottom