Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Wazazi na Walezi Salaam.
Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024.
Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....๐น๐ฟ๐คโ๐ป
Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana, katika ukimya wetu ndiyo adui hupita kwa urahisi maana fahamu zao hazistuki hadi wameumizwa. Ila na wazazi hatuko karibu na watoto kwenye ajenda hii hadi mtoto ameshaumia siyo mara moja ndiyo tunastuka.
Haya tushirikiane. Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2024...