Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

Hangover za limbwata zimeanza kupungua. Naomba tu huyu mama asiende kuongeza dozi, licha ya kwamba samtaimzi limbwata lina raha yake, hata ndugu ukiwanyima hela, lawama zinaenda kwa mwanamke, hata kama kwenye hiyo Hela hajapata hata mia
 
Ndugu wa mume ni shida
Ndio maana wamama huwaafundisha watoto wako kwamba mashangazi ndio wabaya, wababa mkubwa hawana upendo, bibi upande wa baba ni mchawi sana, ila Babu mzaa baba yenu ni mtu mwema sana ila anarogwa sana na mkewe ambaye ni bibi yenu.

Hata yule shangazi yenu mkubwa amerithishwa uchawi. Hata mwaka Jana mtoto wake alivyokufa kwa malaria, ni yeye alimtoa kafara kwa wachawi wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…