Hupendi nini wewe sema mwaka wako watu wakutengenezee keki πHili swali silipendi
Maneno haya si mageni π€£π€£Happy birthday mcute kiss ov love
Zawadi zako zipo bandarin jiandae kuzipokea
Hupendi nini wewe sema mwaka wako watu wakutengenezee keki πHili swali silipendi
Mh! Hapana bakini na keki zenu tuπ πHupendi nini wewe sema mwaka wako watu wakutengenezee keki π
ATI wasemaje πππ hii ya Leo unipe location nizilete mwenyewManeno haya si mageni π€£π€£
Ina maana hakuuona, aliudharau ama anataka tu kusumbua watu!?Kuna ushauri wa makaveli10 kule uchukue π
Ndio unazeeka hivyo , unazungumziaje hilo kimbau mbau π€Asante mkuu, nimeshapoa π
Wewe sikuamini usije kuwa mtu usiyejulikana mpe Binti wa zamani atanifikishia πATI wasemaje πππ hii ya Leo unipe location nizilete mwenyew
π π π mimi bado sana kuzeekaNdio unazeeka hivyo , unazungumziaje hilo kimbau mbau π€
Usijifanye kama hatujuani nje ndani we nipe location ya Leo nije kukuchukuaWewe sikuamini usije kuwa mtu usiyejulikana mpe Binti wa zamani atanifikishia π
Kazaliwa mwez gan mbona mke wangu alikuwa labour mwaka huo huo πππKijana unataka nikuachie laana, mimi ni babu yako, mwanangu wa mwisho kazaliwa 1997,
Jidanganye kuna watoto wa 2010 wa moto hatariπ π π mimi bado sana kuzeeka
π mwezi wa nane, hospitali ganiKazaliwa mwez gan mbona mke wangu alikuwa labour mwaka huo huo πππ