Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Kukuelezea humu itakuwa ni ngumu kunielewa utatoka kapa tena, ingefaa utembelee makazi yangu nikuelezee vizuri kisha tumege na keki angalau ndogo maana inawalaji wengi humu ndani.Huu waraka sijaambulia kitu hebu nisumalaizie
Thanks Vincenzo 😊 🙏Happy birthday to you 😎
kiss ov love ndugu yangu Harmful hajaoa bado, hapo alikuwa ana nukuu mashairi ya nyimbo mpya ya Muimba SINGELI 😁😁dosho12 uje kunitetea maana we ndio umesababisha niangamize penzi huku😭😭😭😂
Daah Muimba SINGELI kitambo sana 🥹kiss ov love ndugu yangu Harmful hajaoa bado, hapo alikuwa ana nukuu mashairi ya nyimbo mpya ya Muimba SINGELI 😁😁
Sana, sijui kapotelea wapiDaah Muimba SINGELI kitambo sana 🥹
Alinipanga anaenda Belgium mara Moja Kuna mzigo wake umekwama 😁Sana, sijui kapotelea wapi
akamua kuzamia kabisa 😁Alinipanga anaenda Belgium mara Moja Kuna mzigo wake umekwama 😁
Ikapotea kabisa na akirud sijui kama atakumbuka password yake 😁😁😁 tushamkosaakamua kuzamia kabisa 😁
Au katekwa na Mary D nini 😅Ikapotea kabisa na akirud sijui kama atakumbuka password yake 😁😁😁 tushamkosa
Itakuwa maana mishangazi ndiy ugonjwa wake😂😂😂Au katekwa na Mary D nini 😅
Muongo wewe siwaamini😔kiss ov love ndugu yangu Harmful hajaoa bado, hapo alikuwa ana nukuu mashairi ya nyimbo mpya ya Muimba SINGELI 😁😁
🤣🤣 Hapana bhana,Alianzisha mada Jana anataka anenepe kidogo
Ina maana hakuuona, aliudharau ama anataka tu kusumbua watu!?
🤣
Basi nasi tunampuuza tu. 😂🤣Aliuona akaupuuza 🤭😂