Kagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchiIla Makambo aliwafunga USM Algiers...Kageri aliambulia patupu
Hukumsikia Chief Coach Zahera ...Makambo anawafunga TP Mazembe na AS Vita kwenye ligi ya kwao..subiri zishuke mashine za kumchezesha..maji mtaita mmaKagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchi
Mimi nikiwa na Marcel Kaheza na Makambo chaguo langu la kwanza atakuwa Kaheza, Vitalis Mayanga wa ndanda hana mchezaji wa kumlisha kulingana na walioko yanga lakini anafunga na fighting spirit yake unaiona awapo uwanjani, huyu ni butu tangu mwanzo.Kagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchi