kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
- Thread starter
- #41
Wakuu geofrey salanje Turnkey hakuna anayemchukia huyu jamaa ila sijaona juhudi binafsi zozote kutoka kwake za kuibeba timu, magoli anayofunga niya kawaida sana, kama goli lake la mwili lile ata mtu asiyemchezaji anafunga kabisa, Ngassa alishamaliza kila kitu akamuwekea jamaa akiwa yeye na goli sasa pale unashindwaje kufunga ata kama ni wewe?