Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

Heritier Makambo, usajili wa hovyo kabisa uliofanywa na mtani wangu.

Wakuu geofrey salanje Turnkey hakuna anayemchukia huyu jamaa ila sijaona juhudi binafsi zozote kutoka kwake za kuibeba timu, magoli anayofunga niya kawaida sana, kama goli lake la mwili lile ata mtu asiyemchezaji anafunga kabisa, Ngassa alishamaliza kila kitu akamuwekea jamaa akiwa yeye na goli sasa pale unashindwaje kufunga ata kama ni wewe?
 
Hata mama yake kocha Zahere angefunga.
 
Ila Makambo aliwafunga USM Algiers...Kageri aliambulia patupu
Kagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchi
Hukumsikia Chief Coach Zahera ...Makambo anawafunga TP Mazembe na AS Vita kwenye ligi ya kwao..subiri zishuke mashine za kumchezesha..maji mtaita mma
 
Kagere hata asipofunga msimu mzima huwezi kumlinganisha na huyo Makambo,anapuyanga tu. Kwenye chama letu la ndondo Makambo anasugua benchi
Mimi nikiwa na Marcel Kaheza na Makambo chaguo langu la kwanza atakuwa Kaheza, Vitalis Mayanga wa ndanda hana mchezaji wa kumlisha kulingana na walioko yanga lakini anafunga na fighting spirit yake unaiona awapo uwanjani, huyu ni butu tangu mwanzo.
 
Back
Top Bottom