TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.

Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.

Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar Es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.
Who is he?
 
R.I.P mwamba
 
Hayo ni mawazo yako wewe masikini... Mwingine anasafiri kwa basi kama sehemu ya Utalii...ana enjoy mandhari ya nchi tofauti na akiwa kwenye ndege
Hakuna raha kama kusafiri na private car safari ndefu, we ulishaona wapi tajiri yuko Mbezi stend anapanda Kimbinyiko
 
Mkuu zako zikiisha wadia utafia hata kwenye ndege tena utakufwa vizuuri tu ndege ikiwa angani
Yule mtu anaagiza ng'ombe kutoka Misri. Ngiyo kati ya biashara alizokuwa anafanya.
Alikuwa anaishi katika hoteli tu. Yaani anaishi katika hoteli kama weer unavyokwenda kulala nyumbani kwako kila siku.

Ukimtafuta hauulizi nyumbani kwake wapi, unauliza yuko katika hoteli gani?
 
Back
Top Bottom