TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

Chief, nadhani ungetoa japo wasifu wake kwa Muhtasari, alikuwa ni nani? Anafanya shughuli gani? Alikuwa mkazi wa wapi? Kwa haraka haraka ukitaja ubini wake fikra za wengi wetu zinaenda kwa yule mrembo Miriam!
R.IP Odemba.
Me nafikiri ni mtu wa kawaida tu kama sisi wengine. Ingekuwa ni mtu maarufu/mashuhuli taarifa za kifo chake zisingekuja humu jamvini siku nne baada ya yeye kufariki.
Poleni sana wanafamilia.
 
😆😆😆...daah
 
Jenerali Ulimwengu umemsikia alivyosema? ( mwaka jana)"Vipi hawa watu wanachaguliwa kuwa waziri,(kuwa rais),wakati mimi siwafahamu. Na mimi niko hapa siku nyingi,lakini nasema mimi siwajui. Hawa watu wametoka wapi?"
Najua utakavyojibu,"Usimsikilize Jenerali"
Mmoja yule Tax,kachaguliwa kuwa Waziri wa Ulinzi,ndio kwanza nikamsikia jina lake.
Ndiyo Jenerali alikuwa anauliza why don't we see their rise to power. Ghafla tu tunasikia wamekuwa viongozi .wakubwa.
By the way,I do not imply that I do not approove of what Tax is doing.
 
Tax ni mwana diplomasia na mehudumu kwa muda mrefu kabla ya uteuzi alikuwa mkurugenz mkuu SADC na aliiwakilisha vizuri nchi
 
Odemba ni big family wilaya ya Rorya kijiji cha Buturi wao ndio wamiliki wa jina hilo.
So ni familia.

Nakumbuka huko nyuma kulikuwa na katibu mkuu wizara ya mipango akiitwa ODEMBA!!
 
Jenerali Ulimwengu umemsikia alivyosema? ( mwaka jana)"Vipi hawa watu wanachaguliwa kuwa waziri,(kuwa rais),wakati mimi siwafahamu. Na mimi niko hapa siku nyingi,lakini nasema mimi siwajui. Hawa watu wametoka wapi?"
Najua utakavyojibu,"Usimsikilize Jenerali"
Mmoja yule Tax,kachaguliwa kuwa Waziri wa Ulinzi,ndio kwanza nikamsikia jina lake.
Ndiyo Jenerali alikuwa anauliza why don't we see their rise to power. Ghafla tu tunasikia wamekuwa viongozi .wakubwa.
By the way,I do not imply that I do not approove of what Tax is doing.

Sijui wewe ulikuwa wapi lakini huyu mama ambae sasa ni Waziri wa mambo ya nje alikuwa pale wizara ya mipango akijulikana kwa jina la Stargomela Tax Bamwenda, muda huo akifanya kazi chini ya Dr. Enos Bukuku!
 
Mi sifuatilii what the politicos are doing. Rais Samia anatangaza Ma RAS na ma DAS,natazama listi,simfahamu hata mtu mmoja. It is none of my business. Dr.Enos Bukuku pia simfahamu.
 
Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.

Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.

Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.
Safari ya kifoni imemkuta akiwa safarini apumzike kwa amani
 
Mi sifuatilii what the politicos are doing. Rais Samia anatangaza Ma RAS na ma DAS,natazama listi,simfahamu hata mtu mmoja. It is none of my business. Dr.Enos Bukuku pia simfahamu.

Mimi nimekujibu kufuatia kuwa watu wanaoteuliwa hawajulikani hata na Jenerali Twaha Ulimwengu anaejinasibu kuwa ni wa zamani na anawafahamu wengi nchini!
 
Back
Top Bottom