TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

TANZIA Hermann Odemba afariki dunia

Ila wamesema alikuwa ana presha mkuu, si 'inasemwa' kuwa wagonjwa wa pressure huwa hawasafiri kwa ndege kiholela holela?
Kuna tatizo la presha na moyo.wa moyo ndio kupanda ndege changamoto.
Presha watanzania wengi above 50 wanayo
 

Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.

Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.

Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.
Tanzania ina watu milioni 60, hatuwezi kumfahamu huyo Odemba labda utupe wasifu wake.
 
Back
Top Bottom