Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Serikali imedumaza bongo zetu kwa kuweka kodi kubwa na kuamini ukiwa na gari ni Tajiri kumbe ni chombo kama vyombo vingine vinavyorahisha maisha...Mtu yeyote anayefia kwenye basi hana hela huyo,ndege zimejaa??private car mbovu??
Njoo Ubungo uone abiria wa Mbagala wanavyopitia dirishaniSerikali imedumaza bongo zetu kwa kuweka kodi kubwa na kuamini ukiwa na gari ni Tajiri kumbe ni chombo kama vyombo vingine vinavyorahisha maisha...
Kujua maisha yetu Watanzania natakiwa kuja Ubungo?Njoo ubungo uone abiria wa mbagala wanavyopitia dirishani
Alishiriki lakini hakuwa Miss Tanzania.Miss Tanzania wa zamani au?
Huyu ni mwenzetu tuuElewa point,hakuna tajiri anasafiri kwa basi umbali huo,
Who is he?
Unanichanganya bana😃Wasn't he?
Unanichanganya bana😃
Nilodhani utakuja na majibu unijuze huyo mtu ni nani. Nijuze basiNilivyoona ilo swali nikamkumbuka mwalimu wangu wa english TAG QUESTION na Pia nikamkumbuka Muarabu wa Dubai(Mpoki) anapenda sana Tag question Hahahahaaaaa.
Nilodhani utakuja na majibu unijuze huyo mtu ni nani. Nijuze basi
Kifupi ni mtu wa kwenuNilodhani utakuja na majibu unijuze huyo mtu ni nani. Nijuze basi
Ila wamesema alikuwa ana presha mkuu, si 'inasemwa' kuwa wagonjwa wa pressure huwa hawasafiri kwa ndege kiholela holela?Elewa point, hakuna tajiri anasafiri kwa basi umbali huo,
Huku kwetu hatumjuiKifupi ni mtu wa kwenu
Mjaluo hujui odembaHuku kwetu hatumjui
Mlugulu mie, sina hata chembe ya ujaluoMjaluo hujui odemba
Kumbe demi, nilidhani naongea na AntonniaMlugulu mie, sina hata chembe ya ujaluo
Kuna tatizo la presha na moyo.wa moyo ndio kupanda ndege changamoto.Ila wamesema alikuwa ana presha mkuu, si 'inasemwa' kuwa wagonjwa wa pressure huwa hawasafiri kwa ndege kiholela holela?
Tanzania ina watu milioni 60, hatuwezi kumfahamu huyo Odemba labda utupe wasifu wake.
Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.
Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.
Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.