kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #41
Mimi sina hasira ila umepata hasira ulipogundua kichwa kimebaki kitupe akili zipo kwenye mfuko wa Hersi jifunze kuchukulia vitu kawaida sio kila jambo unapanic!Kunywa supu upunguze hasira.
Nani kapanic,wewe ndiye uliyepanic mpaka ukaleta uzi.Mimi sina hasira ila umepata hasira ulipogundua kichwa kimebaki kitupe akili zipo kwenye mfuko wa Hersi jifunze kuchukulia vitu kawaida sio kila jambo unapanic!
CCM na Yanga, wana AKILI sana! Zile rangi zao zifananazo sio bure!Mkuu, unateseka hivi ukiwa wapi ?
Karibu tule nyama na kuku bwana.
Nani kapanic,wewe
Lengo la uzi ni kuonyesha uto wote akili zimekwenda na majungu ya supu mnaning'inia tu hivi sasa!Nani kapanic,wewe ndiye uliyepanic mpaka ukaleta uzi.
Unaona hawa wenzako wamechukulia kawaida tu.
View attachment 2811375
Lengo ni kuwakumbussha mashabiki wa yanga majukumu yao na kuwafurahisha, This is what we call get togetherHadithi za watu wa kale walikuwa wanasema wakoloni wanapotaka kufukia mali zao walitumia mazindiko ya kuwazika watu hai,sasa hii karne ya sasa Gsm na Hersi wamewamaliza na kuwachukulia akili zao watu wa uto kuanzia leo hata mambo yaende kombo mashabiki wa uto watakua hawana uwezo wala kauli wamefunikwa na kufumbwa mdomo kabisa kwa kupewa nyama za fisi!View attachment 2811255View attachment 2811256View attachment 2811257
Kuna watu wametumia hela nyingi tu kusafiri na kuja kula supu, siyo kwamba hawana hela au njaa ni burudani kama kwenda uwanjani. Na bado kabisa hamjasema bado mno.Naangalia hizi picha kisha nasema "NJAA MBAYA SANA"
Uwanja si upo Benjamin Mkapa tena umefanyiwa marekebisho unataka kmc ndio atumie uwanja murua kama ule kwa Sasa si ni kuleta vifaa vya kutupa soup nyingine jumapiliHamuwezi hoji uwanja wa timu maana supu imeshawamaliza!
Kibu mtu ila sidhani kama watakubali kumuachia ngoja kocha mpya aje amuweke benchi hadi achoke aombe kuondoka tumchukue dirisha dogoHersi ametisha Sana supu ni tamu Sana ukinywa baada ya kupiga khamsa Makolokwinyo ila kwangu Mimi bado Hersi hajamaliza kazi.
Bado tunamtaka Eng Hersi amsajili Kibu Denis awe mwananchi ili kuizika rasmi Simba! Goli la kichwa alilotufunga mbele ya ukuta wa Berlin wa Yanga derby ya juzikati ni goli classic ila kosa lake ni kutuchokoza kwa kutoa ishara ya kutufunga mdomo Simba wakala khamsa 5G! Hivi Sasa jezi wanapigia deki!! Ukisema khamsa unakula makonde jamaa wamejaa sumu!! Hersi Mtu mbad sana eti ye alitaka Makolokwinyo wapigwe goli tano tu japo wachezaji walimwambia wana uwezo wa kuigeuza Simba ile kuwa Simba Queens na kuitungua goli za netiboli kuanzia tisa hadi dazeni 12!! Eti waliwaonea huruma tu kwa zile khamsa!!
Imagine na Yanga hii ya moto Kibu awe pale mbele na Max Nzegeli na Ki Aziz, Simba wangekula wiki (7-0)!
Pole sana bwana koloNchi ina wajinga kweli kweli yaani mtu anaacha kula kwake na mke wake anaenda kula kwenye kijamvi.
Kwa akili zenu zilivyo ndogo Kolo FC ndio maana mkaletea Manzoki kama msimamizi wa uchaguzi na kura mkampa Mangungu.Lengo la uzi ni kuonyesha uto wote akili zimekwenda na majungu ya supu mnaning'inia tu hivi sasa!
kama alivyowafanya mwamedi eeh!!!Hadithi za watu wa kale walikuwa wanasema wakoloni wanapotaka kufukia mali zao walitumia mazindiko ya kuwazika watu hai,sasa hii karne ya sasa Gsm na Hersi wamewamaliza na kuwachukulia akili zao watu wa uto kuanzia leo hata mambo yaende kombo mashabiki wa uto watakua hawana uwezo wala kauli wamefunikwa na kufumbwa mdomo kabisa kwa kupewa nyama za fisi!View attachment 2811255View attachment 2811256View attachment 2811257
Kazi mnayo mifupa na mate yanakwenda kuzikwa baharini!Kwa akili zenu zilivyo ndogo Kolo FC ndio maana mkaletea Manzoki kama msimamizi wa uchaguzi na kura mkampa Mangungu.
Eeh nanyi ni zamu yenu kuwa mandondocha vyura fc!kama alivyowafanya mwamedi eeh!!!
Kwahiyo leo umekiri ile kauli ya Rage!!Mana unaposema zamu yenu nikwamba ninyi Mupo hivyo...Eeh nanyi ni zamu yenu kuwa mandondocha vyura fc!
Ndio maana mlimpa kura Mangungu.Kazi mnayo mifupa na mate yanakwenda kuzikwa baharini!
Kawaida inatakiwa izikwe wapi ndugu mshirikina?Kazi mnayo mifupa na mate yanakwenda kuzikwa baharini!
Ikasagwe itengenezwe vyombo!Kawaida inatakiwa izikwe wapi ndugu mshirikina?
huo ni ujinga unaokusumbua,yanga imejengwa na inazidi kujengwa kimfumo,mawazo ya kipuuzinjama hayo unayo wewe na wajinga wenzioHadithi za watu wa kale walikuwa wanasema wakoloni wanapotaka kufukia mali zao walitumia mazindiko ya kuwazika watu hai,sasa hii karne ya sasa Gsm na Hersi wamewamaliza na kuwachukulia akili zao watu wa uto kuanzia leo hata mambo yaende kombo mashabiki wa uto watakua hawana uwezo wala kauli wamefunikwa na kufumbwa mdomo kabisa kwa kupewa nyama za fisi!View attachment 2811255View attachment 2811256View attachment 2811257