Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiyo kiboko yenu, yupo sana Yanga,.Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau.
Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji.
Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
Simba inasajili mchezaji Mtibwa iliyempeleka kwa mkopo, kuna nini tena hapo?Jangwani kunateketea kwa sasa kuna hitaji maji mafuta ya Mwamposa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kiburi chake ni kusababisha sisi Makolodundukaz SeMBe kupiga myayo kwa miaka miwili sasa na hatujui mkwamo huu utaisha lini.Kiburi chake kipo wapi mkuu?
Dharau yake ni Nini ?
Labda utueleze kwa ushahidi usio na shaka
Sasa umeongea kitu gani?Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau.
Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji.
Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu