Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ukimaliza hapo kamsaidie na Mwenyekiti wa chadema pia ili awe eye contact iliyonyooka!
Hii ndio tulitarajia mjitetee nayo na sio kutekana au kupiga risasi wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza hapo kamsaidie na Mwenyekiti wa chadema pia ili awe eye contact iliyonyooka!
Kweli "WAZALAMO" wana haki ya kukukosoa! Your stupidity is irreparable!Mtakosoa Sana , lkin hizo ni minor case Sana coz hata watz wengi nikiwemo Mimi wazalamo huwa wananikosoa maneno mengi na huwa wananicheka
K
Kwan Rais n msukuma? Tuanzie hapo
Wewe ni kwa sababu hujaenda shule, lakini msomi yeyote mwenye hadhii ya phd haifai ashindwe kutamka hizo herufiMtakosoa Sana , lkin hizo ni minor case Sana coz hata watz wengi nikiwemo Mimi wazalamo huwa wananikosoa maneno mengi na huwa wananicheka
Mpo wengi humu JF mnaweka L kwenye R. na ukenda pemba kwa waliokolea kipemba utaona M inakuwa replaced na N. Mkate utamsikia akisema nkate. Sasa haihitaji praise team kumtetea rais. Inahitaji mtu mwenye akili kutambua kuwa inatokea watu fulani wanatumia herufi gani badala ya gani.... Kila kitu mmekalia kuponda tu!Praise team watakuja kumtetea. Wao kila jambo wanamtetea hata kama la kijinga.
Asante mkuu kwa kunitukanaKweli "WAZALAMO" wana haki ya kukukosoa! Your stupidity is irreparable!
Paschal Mayalla ni Msukuma pure, na sijawahi kumsikia akitamka hizi herufi kimakosa. Nasema ni suala dogo sana la kumrekebisha, kwa sababu wakati mwingine unaweza kukuta yeye mwenyewe hajui Kama anakoseaPaschal Mayalla njoo huku!
Mkuu , unavosema sijaenda shule Kama unanijua vile ....!Wewe ni kwa sababu hujaenda shule, lakini msomi yeyote mwenye hadhii ya phd haifai ashindwe kutamka hizo herufi
Sasa wewe umedhihirisha chuki binafsi
Na wewe tukusaidiaje kwa jinsi unavyotumia hovyo herufi kubwa?!Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.
Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Wewe unaongee nini mtu ana PHD hajui matumizi ya alphabetic hapa jf kuna wa PHD wangapi wasio jua matumizi ya herufi hizo acha kutetea ujingaMpo wengi humu JF mnaweka L kwenye R. na ukenda pemba kwa waliokolea kipemba utaona M inakuwa replaced na N. Mkate utamsikia akisema nkate. Sasa haihitaji praise team kumtetea rais. Inahitaji mtu mwenye akili kutambua kuwa inatokea watu fulani wanatumia herufi gani badala ya gani.... Kila kitu mmekalia kuponda tu!
Hakuna aliyekamilika katika kila jambo. Tunatakiwa kuyakubali mapungufu yetu na kisha kuyafanyia kazi. NinUlimwengu wa kujifunza.Ahsante Mkuu, bado hajachelewa kwa sababu elimu haina Mwisho
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini hiyo inategemea ulianza shule na umri gani na umesoma kwa miaka mingapi. Kwa mfano umeanza shule una miaka 6, mpaka kufikia levo ya PhD hiyo mother tongue itakuwa imeshafutika. Mfano halisi ni Paschal Mayalla. Kiswahili na English yake imenyooka Kama Rula.Mkuu , unavosema sijaenda shule Kama unanijua vile ....!
Lakin nikwambie! Tu kwamba mother tongue ina effect kwenye lugha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuna R au L wapi kwenye Hostages?