Alikuwa ameandika au anazungumza?Wewe unaongee nini mtu ana PHD hajui matumizi ya alphabetic hapa jf kuna wa PHD wangapi wasio jua matumizi ya erufi hizo acha kutetea ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa ameandika au anazungumza?Wewe unaongee nini mtu ana PHD hajui matumizi ya alphabetic hapa jf kuna wa PHD wangapi wasio jua matumizi ya erufi hizo acha kutetea ujinga
Akili kisoda vichwa tembo. Hii n athari za kikabila, sasa unajiuliza kuna umuhimu gani wa kwenda shule?Mpo wengi humu JF mnaweka L kwenye R. na ukenda pemba kwa waliokolea kipemba utaona M inakuwa replaced na N. Mkate utamsikia akisema nkate. Sasa haihitaji praise team kumtetea rais. Inahitaji mtu mwenye akili kutambua kuwa inatokea watu fulani wanatumia herufi gani badala ya gani.... Kila kitu mmekalia kuponda tu!
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Mpo wengi humu JF mnaweka L kwenye R. na ukenda pemba kwa waliokolea kipemba utaona M inakuwa replaced na N. Mkate utamsikia akisema nkate. Sasa haihitaji praise team kumtetea rais. Inahitaji mtu mwenye akili kutambua kuwa inatokea watu fulani wanatumia herufi gani badala ya gani.... Kila kitu mmekalia kuponda tu!
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.
Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Pia wenye tatizo la nchi na inji au ng’ombe na ngombe au chai na kyai au kasheshe na kadhedhe nao tuwasaidieNi dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.
Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Naunga mkono hoja.
Kwanza namuunga mkono rais Magufuli kutumia lugha ya Kiswahili kila mahali hadi UN mwezi October mwaka huu, ila Kiswahili hicho kiwe ni Kiswahili fasaha.
P
Rejea
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .
Wanabodi, Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone. Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na mgeni wake Ansbert Ngurumo...www.jamiiforums.com
Ndondoçha wa lumumba wananipa tabu sana mkuu , english akichemka wanasema ni mzalendo anakuza kiswahil....aya sasa kiswahili nacho anakosea nao ni uzaleñdo?Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye atasema Leli, tena kwa kujiamini,. Ktk Msamiati wa kiswahili neno Leli Lina maana tofauti kabisa.
Ni Mara nyingi sana amekuwa akijichanganya kuhusu herufi hizi, kwa Sisi Watanzania tunamvumilia kwa sababu ni mtu wetu, lakini Tatizo linakuja pale tu anapokuwa nje ya Nchi ambapo inabidi aongee lugha ya Kimataifa, kwa English, penye Herufi R ukibadili na kuweka L, automatic huwa inabadili maana nzima ya unachozungumzia. Na wakati mwingine inaweza hata kuwa ni matusi makubwa. Niwaombe Tu Wahusika kwa Roho safi, Wajitahidi sana kumwelekeza namna nzuri ya kutumia hizi herufi ili Mara nyingine tusije kupata aibu Kama hii inayoendelea ktk mitandao huko Zimbabwe . Pls
Hili tatizo la herufi la R na L sio kwa Raisi tu bali ni kwa Watanganyika wengi tu, mfano mzuri ni humu humu JF..
Hata mbingu ishuke hakitaweza kuwa fasaha au nusu ya fasaha ubishi,ukanjanjaNaunga mkono hoja.
Kwanza namuunga mkono rais Magufuli kutumia lugha ya Kiswahili kila mahali hadi UN mwezi October mwaka huu, ila Kiswahili hicho kiwe ni Kiswahili fasaha.
P
Rejea
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .
Wanabodi, Nimeangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinacharushwa Live na Star TV kila Jumamosi asubuhi. Namshauri Dialo atafute muda kipindi hiki kirudiwe jioni wakati wa prime time ili wengi waone. Kipindi cha leo kusema ukweli muongozaji Dotto Bulendu na mgeni wake Ansbert Ngurumo...www.jamiiforums.com
. Ni kweli...nikipitia michango iliyokuwa ikitolewa humu JF kabla ya 2010, makosa kama hayo yalikuwa machache sana na hapo ndipo CCM ikaanza kuwarubuni viwavi viiingie humu kutetea ujinga na utawala mbovu. Na kweli ikafikia hadi kuwanunulia na kuwapa simu hao viwavi kwa malipo ya yaliyokuja kujulikana kama Lumumba buku tatu na baadaye buku saba. Kwa mwandiko tu utaelewa huyu mchangiaji anao umri gani na kalelewa vipi na wapi...tatizo la " R " na " L " ktk uandishi nimeanza kuliona baada ya JF " kuvamiwa. "
Kama mtu hakwenda shule naweza kuelewa makosa yanayotokana na lafudhi, lakini mtu kaenda shule...unabaki unajiuliza kwa nini tunaenda shule! Najua wapo walioenda shule katika umri mkubwa lakini hata hii si sababu ya kushindwa kumudu lugha iliyokuwa inatumika shuleni. Na hapo ndipo tatizo letu la msingi kama Watanzania linapoanzia, hatuupi uzito unaostahili umakini unaotakiwa katika nyanja zote za maisha na hasa elimu...so sad!..huenda waliosoma primari na sekondari wakati wa awamu ya Mzee Mkapa, Kikwete, na Magufuli, ndiyo waathirika wakubwa wa tatizo hili.
Hata na mimi hili tatizo la " R na L" mwanzo nilifikiri hili tatizo liko kwenye kuzungumza tu,.. Kumbe hili tatizo ni pana sana liko mpaka katika uandishi..tatizo la " R " na " L " ktk uandishi nimeanza kuliona baada ya JF " kuvamiwa. "
..nilishangaa sana, kwasababu nilidhani tatizo hilo lipo ktk kuzungumza tu.
..sasa hebu fikiria tunaweza kuwa na waalimu wenye tatizo hilo na wako madarasani wanafundisha watoto wa kiTz kuandika.
NB.
..huenda waliosoma primari na sekondari wakati wa awamu ya Mzee Mkapa, Kikwete, na Magufuli, ndiyo waathirika wakubwa wa tatizo hili.
Cc Nguruvi3
Hata na mimi hili tatizo la " R na L" mwanzo nilifikiri hili tatizo liko kwenye kuzungumza tu,.. Kumbe hili tatizo ni pana sana liko mpaka katika uandishi
Tatizo jengine nililoligundua humu JF ni uunganishaji wa maneno, watu wengi hawajui kutumia viunganishi mfano.. "vya, cha, nk..
Mfano " vita vya pili vya dunia", utamkuta mtu ana andika "vita ya pili ya dunia"..
Kama vile huwezi kusema "viti YA nani", unatakiwa useme "viti VYA nani".. Kwa ufupi Watanganyika wengi hawajui kiswahili,sijui wanasomeshana vipi hii lugha huko madarasani