Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

Kuna makabila mengine
F = V
V = F
S = Z
Z =S
na baadhi yao wanashiriki huu ukosoaji unaoendelea kwenye huu uzi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mtakosoa Sana , lkin hizo ni minor case Sana coz hata watz wengi nikiwemo Mimi wazalamo huwa wananikosoa maneno mengi na huwa wananicheka
Wewe ni kwa sababu hujaenda shule, lakini msomi yeyote mwenye hadhii ya phd haifai ashindwe kutamka hizo herufi
 
Praise team watakuja kumtetea. Wao kila jambo wanamtetea hata kama la kijinga.
Mpo wengi humu JF mnaweka L kwenye R. na ukenda pemba kwa waliokolea kipemba utaona M inakuwa replaced na N. Mkate utamsikia akisema nkate. Sasa haihitaji praise team kumtetea rais. Inahitaji mtu mwenye akili kutambua kuwa inatokea watu fulani wanatumia herufi gani badala ya gani.... Kila kitu mmekalia kuponda tu!
 
Wewe ni kwa sababu hujaenda shule, lakini msomi yeyote mwenye hadhii ya phd haifai ashindwe kutamka hizo herufi
Mkuu , unavosema sijaenda shule Kama unanijua vile ....!

Lakin nikwambie! Tu kwamba mother tongue ina effect kwenye lugha
 
MTUPOLI kakwama, si kwa lugha yetu ya Kiswahili wala English ya wanaume. KILAZA kabisa kabisa.
 
Na wewe tukusaidiaje kwa jinsi unavyotumia hovyo herufi kubwa?!
 
Wewe unaongee nini mtu ana PHD hajui matumizi ya alphabetic hapa jf kuna wa PHD wangapi wasio jua matumizi ya herufi hizo acha kutetea ujinga
 
Ahsante Mkuu, bado hajachelewa kwa sababu elimu haina Mwisho
Hakuna aliyekamilika katika kila jambo. Tunatakiwa kuyakubali mapungufu yetu na kisha kuyafanyia kazi. NinUlimwengu wa kujifunza.
 
Mkuu , unavosema sijaenda shule Kama unanijua vile ....!

Lakin nikwambie! Tu kwamba mother tongue ina effect kwenye lugha
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini hiyo inategemea ulianza shule na umri gani na umesoma kwa miaka mingapi. Kwa mfano umeanza shule una miaka 6, mpaka kufikia levo ya PhD hiyo mother tongue itakuwa imeshafutika. Mfano halisi ni Paschal Mayalla. Kiswahili na English yake imenyooka Kama Rula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…