Herufi R na L ni tatizo kwa Rais wetu, tumsaidie

Wewe unaongee nini mtu ana PHD hajui matumizi ya alphabetic hapa jf kuna wa PHD wangapi wasio jua matumizi ya erufi hizo acha kutetea ujinga
Alikuwa ameandika au anazungumza?
 
Akili kisoda vichwa tembo. Hii n athari za kikabila, sasa unajiuliza kuna umuhimu gani wa kwenda shule?
 
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Alipokua SUA alisema namnukuu " najua wengine mmeacha Tutorial Assistant kuja kunisikiliza" akimaanisha mmeacha tutorials. Nafikiri tatizo nikubwa zaidi ya R na L
 

Exactly!

Wrong = Long!?
Siku atakuja mwambia balozi wa ujerumani mrefu, kutokana na matamshi yake, balozi ataelewa kaambiwa muongo.
 
Pia wenye tatizo la nchi na inji au ng’ombe na ngombe au chai na kyai au kasheshe na kadhedhe nao tuwasaidie
 


Nilimsikia akisema, "ndugu zangu wana Mbarali, nimeflai kwerikweri kwa mapokezi makubwa mliyonipa"
 
Ndondoçha wa lumumba wananipa tabu sana mkuu , english akichemka wanasema ni mzalendo anakuza kiswahil....aya sasa kiswahili nacho anakosea nao ni uzaleñdo?
Lazima tukubali bwana mkubwa akubali mapunguf ili ajirekebishe ni aibu kwa elim yetu mwenye elim ya juu kabisa hawez lugha aliyojifunza kwa miaka mingi
 
Hili tatizo la herufi la R na L sio kwa Raisi tu bali ni kwa Watanganyika wengi tu, mfano mzuri ni humu humu JF..

..tatizo la " R " na " L " ktk uandishi nimeanza kuliona baada ya JF " kuvamiwa. "

..nilishangaa sana, kwasababu nilidhani tatizo hilo lipo ktk kuzungumza tu.

..sasa hebu fikiria tunaweza kuwa na waalimu wenye tatizo hilo na wako madarasani wanafundisha watoto wa kiTz kuandika.

NB.

..huenda waliosoma primari na sekondari wakati wa awamu ya Mzee Mkapa, Kikwete, na Magufuli, ndiyo waathirika wakubwa wa tatizo hili.

Cc Nguruvi3
 
Mimi ninashangaha kwanini hunasema laisi anahongea au anachanganya L na L kwani auna masikiho iri kumurewa? Ara? Unamdipu laisi, utapigiwa ,shahuli yako.Hongela wote tunaotumia Kiswahili fasaa.
 
Hata mbingu ishuke hakitaweza kuwa fasaha au nusu ya fasaha ubishi,ukanjanja
 
Cha muhimu maendeleo... kwani unakula lugha...

Je waNaigeria ambao Future hutamka fucho...


Cc: mahondaw
 
..tatizo la " R " na " L " ktk uandishi nimeanza kuliona baada ya JF " kuvamiwa. "
. Ni kweli...nikipitia michango iliyokuwa ikitolewa humu JF kabla ya 2010, makosa kama hayo yalikuwa machache sana na hapo ndipo CCM ikaanza kuwarubuni viwavi viiingie humu kutetea ujinga na utawala mbovu. Na kweli ikafikia hadi kuwanunulia na kuwapa simu hao viwavi kwa malipo ya yaliyokuja kujulikana kama Lumumba buku tatu na baadaye buku saba. Kwa mwandiko tu utaelewa huyu mchangiaji anao umri gani na kalelewa vipi na wapi.
..huenda waliosoma primari na sekondari wakati wa awamu ya Mzee Mkapa, Kikwete, na Magufuli, ndiyo waathirika wakubwa wa tatizo hili.
Kama mtu hakwenda shule naweza kuelewa makosa yanayotokana na lafudhi, lakini mtu kaenda shule...unabaki unajiuliza kwa nini tunaenda shule! Najua wapo walioenda shule katika umri mkubwa lakini hata hii si sababu ya kushindwa kumudu lugha iliyokuwa inatumika shuleni. Na hapo ndipo tatizo letu la msingi kama Watanzania linapoanzia, hatuupi uzito unaostahili umakini unaotakiwa katika nyanja zote za maisha na hasa elimu...so sad!
 
Hata na mimi hili tatizo la " R na L" mwanzo nilifikiri hili tatizo liko kwenye kuzungumza tu,.. Kumbe hili tatizo ni pana sana liko mpaka katika uandishi

Tatizo jengine nililoligundua humu JF ni uunganishaji wa maneno, watu wengi hawajui kutumia viunganishi mfano.. "vya, cha, nk..

Mfano " vita vya pili vya dunia", utamkuta mtu ana andika "vita ya pili ya dunia"..

Kama vile huwezi kusema "viti YA nani", unatakiwa useme "viti VYA nani".. Kwa ufupi Watanganyika wengi hawajui kiswahili,sijui wanasomeshana vipi hii lugha huko madarasani
 

..asante.

..nimejifunza kuwa tunapaswa kuandika, " vita vya pili vya dunia. "
 
Wasukuma hawana R, penye uhitaji wa herufi R huwa wanatamka L. Lakini pia imekuwa ni tatizo kwa Watanzania wengi tena wasomi hawajui matumizi ya herufi R na L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…