Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Acha Ushirikina.
Inamaana Jesus na Jacob walikuwa wapenda ngono?
Hii ni laana kwako,shauri yako,si ku google kila kitu na kuiga,wenzio hawana dini hao wanakupoteza
 
Mimi ni A na M. Ila nachapa kazi sana ila ninaaibu sana. Nadhani umechemka
 
Siyo vizuri kudhiaki viongozi kwa uzi wa kutunga na wa kipuuzi kama huu
 

Mimi herufi yangu haipo
 
Ukisikia upuuzi basi ndo huu. Hv kuna mtu kweli jina lake linaanza na q?
 

W - anawivu s - msaliti wilbrod slaa (anawivu msaliti) f - mgombanishi m- hodari (mgombanishi hodari)
 
Sifa ya J = mpenda ngono
Sifa ya M = hodari
Sifa ya K = mbishi

huo utafiti wako hauna ukweli na wala hauendani na uhalisia мкυυ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…