Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa.

Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia herufi G .g nilishawai kusettle kwa miaka kadhaa hatukufika final lakini ma g nao ni watu amaizing sana.

Herufi E wababaishi sana wapenda chini kimya kimya japo wengine wana jina na mbinguni kabisa ila naombeni uzoefu wa wengine kuhusu A na G kuna Jambo nataka kufanya.
 
Subiri kwanza.

Hapo pa ku joke haupo serious na mahusiano naomba kuuliza.

Unatoa hautoi?

Kama unaliwa jamani si serious hapo ama mnacheza Cha Baba na Mama ukubwani?
Hauliwi kwenye jokes bna.utaliwaje??
 
Sijui ila kuna mengine ndio ila mengine hapana japo mazingira, Malezi, na maarifa nafikiri tabia ya mtu iko hapo
 
Subiri kwanza.

Hapo pa ku joke haupo serious na mahusiano naomba kuuliza.

Unatoa hautoi?

Kama unaliwa jamani si serious hapo ama mnacheza Cha Baba na Mama ukubwani?
Hujawai kuwa na mwanaume mtu wako saaana besti saana lakini hamfanyi???
 
Nikataka nishangae.

Ila mnawachuna?

Mnawaacha salama kweli bila kutoboa mifuko yao?

Kama hakuna kukulana Compact jiandae. [emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]
Siku hizi Kila mtu ana hela zake bwana kuna mwanaume wa kuchuna basi mwanamke ukikaa useme usubirie kuchuna utateseka Sana mi naonaga maisha Kila mtu atafute hela zake
 
adden nipo hapa!
ukiwa na mimi I promise hutajutia..
labda wewe unikosee tuu lakini pamoja na hivyo kunikosea nitakuwa mimi nakuomba msamaha.
naomba nifikirie tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…