Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sijui ni coincidence au lah ila nimenotice kuna watu huwa naelewana nao sana. Sijawai kudate wanaume wengi seriously ila sometimes kuna ile unajoke tu haupo serious wanawake wenzangu watanielewa.
Ila nimenotice urafiki wangu na watu wenye herufi A kina Alex, etc huwa amaizing sana sana pia herufi G .g nilishawai kusettle kwa miaka kadhaa hatukufika final lakini ma g nao ni watu amaizing sana.
Herufi E wababaishi sana wapenda chini kimya kimya japo wengine wana jina na mbinguni kabisa ila naombeni uzoefu wa wengine kuhusu A na G kuna Jambo nataka kufanya.