GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 12! kufika Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
986
Reaction score
693
JE, UKO TAYARI Dokezo!

#OktobaTunatoka bado siku 12

Sababu tunayo na si moja lakini iwe siku ya kwemda kukomboa waliotekwa na kufichwa! Inauma sana kuwa na serikali inayomwaga damu ya wanamchi alafu inaona sifa!

Hata tusipofanikiwa kingine zaidi ya kuwakomboa na kukomesha utekaji ni ushindi mkubwa

#FreeAllPoliticalPrisonersinTanzania
 
‼️🚨VOTES FOR SAMIA ALLEGEDLY PREPARED AHEAD OF OCT 29 ELECTIONS🚨‼️
One key issue that Polepole raised was how CCM had access to the national ID system and the voters’ database and manufactured votes - more and more civil servants are confirming they have been told to go and vote for “show” to legitimize the numbers
Hii ni aibu sana na ndiyo maana wana chuki kubwa na Polepole - kwa kusema ukweli! Kwa sasa watumishi kadhaa wameniandikia hii ya leo 👇🏾 kuhusu kura zimeshapigwa ila wameambiwa waende kuipa uhalali ile idadi feki!
Very sad!
#Oktoba29Tunatoka #OktobaTunatoka haiepukiki!




#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 #StopAbductionTz #FreeTunduLissu #FREE_TANZANIA #FreePolepoleNow #SamiaMustGo #struggle_for_africa
 
#Oktoba29Tunatoka #TANZANIA #StopAbductionsTz #SamiaMustGo #tanzania #eastafrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…