sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #21
Ni siku ya nanekama siku ya 7 ilifika saa 6 mchana hivo hata siku ya 8 ilipaswa ifike muda huo huo na si saa6 za usiku hivo hoja yako haina mashiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni siku ya nanekama siku ya 7 ilifika saa 6 mchana hivo hata siku ya 8 ilipaswa ifike muda huo huo na si saa6 za usiku hivo hoja yako haina mashiko.
yaani wakwetu sijui kwanini I have this feeling kama Leo ni ijumaa, 😂Hivi kesho ni 9december ..!!..😊
😂😂 Tuko sambamba wakwetu..yaani wakwetu sijui kwanini I have this feeling kama Leo ni ijumaa, 😂
Diamond yupo mbali sana mkuu, hilo hakuna anaebishaHata kama ni siku nane, bado bwana mdogo ameweka rekodi ya kibabe sana kusepa na Kijiji cha viewers milioni kumi ndani ya siku nane....katuletee video ya msanii mwingine nchini Tanzania ambayo imewahi weka rekodi konki kama hiyo dingilai.
Siku ina masaa 24 hiyo siku ya tar 8haikutimiza masaa 24 utasemaje imechukua siku nane
Kwani siku ya tar 8 ilikuwa inatimia kwa masaa 12 kwanini uiite siku iliyotumiwa nawakati haikuisha na View wakafikiwa 10Diamond yupo mbali sana mkuu, hilo hakuna anaebisha
Tatizo ni dogo tu hapo ilibidi aweke siku 8 badala ya kusema ni ndani ya wiki.
Mbali na hapo, jamaa kweli ni simba ambae sio leo wala kesho hii rekodi kua mtu ataivunja
Kwani siku ya tar 8 ilikuwa inatimia kwa masaa 12 kwanini uiite siku iliyotumiwa nawakati haikuisha na View wakafikiwa 10
Diamond kasema kafikisha "ndani ya siku saba" sio "ndani ya siku ya saba" hivyo vitu ndio unachanganya
Hii inaonesha hujui kabisa maana ya neno "within' alilotumia Diamond, Huenda nae kingereza kimempiga chenga.Diamond kasema kafikisha "ndani ya siku saba" sio "ndani ya siku ya saba" hivyo vitu ndio unachanganya
Kiingereza chako kipo icu, hakika tz kuna tatizo kubwa sana la kiingerezaMzee baba kwan we ukiambiwa huyu mtoto ni mwanafunzi ana miaka 17 hvo hajafikisha miaka 18 ili awe huru kugegedwa, unaelewa nini?
Jiangalie unachungulia 30 jela bila kujijua kwa huo mtazamo wako,.
Hata kama bado miezi miwili afikishe 18, huyo haesabiki kama ana miaka hiyo.. Atahesabika ana miaka 17
Mbona ni hesabu ndogo tu hii? Basi kaikosoe na youtube kwa kuandika "1 week ago" wakati wimbo upo wiki ya pili sasa
Hivi huwa mnalipwa bei gani kufuatilia mambo yasiyo wahusu...yaan unajiita mwanamume kamili unatenga muda wako kuanza kupekenyua mambo ambayo hayakuhusu..wenzako wanapiga pesa ndefu,je wewe na ukweli wako unakuigizia bei gani?Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??
ukiingia mtandao >> huu B] , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.
View attachment 1644892
Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba iliisha jana tarehe 7 saa sita mchana
View attachment 1645006
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8 mida wa takribani saa sita na robo usiku, video iligonga views milioni 10 kwa hio, kulingana na jedwali la hapo juu ni siku ya nane
USHAURI:
Diamond Platnumz na media wasahishe taarifa zao ili kuendana na ukweli
Wasted energyHivi huwa mnalipwa bei gani kufuatilia mambo yasiyo wahusu...yaan unajiita mwanamume kamili unatenga muda wako kuanza kupekenyua mambo ambayo hayakuhusu..wenzako wanapiga pesa ndefu,je wewe na ukweli wako unakuigizia bei gani?
Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??
ukiingia mtandao >> huu B] , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.
View attachment 1644892
Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba iliisha jana tarehe 7 saa sita mchana
View attachment 1645006
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8 mida wa takribani saa sita na robo usiku, video iligonga views milioni 10 kwa hio, kulingana na jedwali la hapo juu ni siku ya nane
USHAURI:
Diamond Platnumz na media wasahishe taarifa zao ili kuendana na ukweli
Jombaa yuko deep sanaHebu tumsubiri yule bwana mdogo Kigoma Independent ndiyo amewekeza energy yake yote kwenye hizi mbanga.
Nikadhani viewers wakununua/robotic viewers. Kumbe ni hesabu sahihi.Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??