Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

kiin

Kiingereza chako kipo icu, hakika tz kuna tatizo kubwa sana la kiingereza

Nenda kwa rasta simba uanze hata kozi ya the na a [emoji23][emoji23]

Kiufupi hujui kiingereza mkuu
Hii tabia ya watanzania kutaka kila mtu ajue kiingereza inashika kasi. China na teknolojia yao yote kiingereza ni somo kama masomo mengine.
 
Ni bora mtu aongee kiswahili tu anaeleweka vizuri, mtu analazimisha kuongea asichojua
 
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??

ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.

View attachment 1644892

Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba iliisha jana tarehe 7 saa sita mchana

View attachment 1645006

Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8 mida wa takribani saa sita na robo usiku, video iligonga views milioni 10 kwa hio, kulingana na jedwali la hapo juu ni siku ya nane

USHAURI:

Diamond Platnumz na media wasahishe taarifa zao ili kuendana na ukweli
nyie ndio mnamuamishaga ALIKIBA ANAJUA KULIKO DIAMOND. anywai pambana na hali yako mkuu, mwenzio anatengeneza fedha
 
hesabu za approximation ulikimbia? mbona zipo form three na form four? Diamond yupo sahihi according to approximation
 
angeongezea neno "takribani" sio kuandika kwa uhakika "ndani ya siku 7" wakati ni siku 8
 
Wapo
Hivi huwa mnalipwa bei gani kufuatilia mambo yasiyo wahusu...yaan unajiita mwanamume kamili unatenga muda wako kuanza kupekenyua mambo ambayo hayakuhusu..wenzako wanapiga pesa ndefu,je wewe na ukweli wako unakuigizia bei gani?

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
Wapo wanaoingiza pesa kwa umbea huu huu mkuu. Siku hizi mitandao ni kitega uchumi kizuri tu ilimradi unajua kutumia umbea vizuri.
 
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??

ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.

View attachment 1644892

Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba iliisha jana tarehe 7 saa sita mchana

View attachment 1645006

Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8 mida wa takribani saa sita na robo usiku, video iligonga views milioni 10 kwa hio, kulingana na jedwali la hapo juu ni siku ya nane

USHAURI:

Diamond Platnumz na media wasahishe taarifa zao ili kuendana na ukweli
Haya sasa tumekubali, views milioni 10 ndani ya Siku nane na sio Siku saba.
 
Shida sio sisi tunahesabu au yeye ukingia pale unaona je wewe mi nikifatilia naona siku ya ngapi (muda)na idadi

Acha wivu
 
Back
Top Bottom