Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
upinzani wa kweli upo mioyoni ambao kuufuta hawawezi.Mkakati ni kumfunga Cheaman kwa ugaidi halafu team Msajili akifute chama kwa ugaidi wa chea.
Wazalendo Pati kuwa chama kikuukuu cha upemzani.
Hii ndo turufu ya kijani kuendelea kutawala wadanganyika
Hizi Ni Amri chonganishi1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama?
2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa?
3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025?
4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda ya Kimkakati ya Kummaliza Mzanzibari katika Medani ya Kisiasa hasa kuelekea 2025?
5. Je, akiachiwa sasa hawezi Kutoroka nchi na Kuomba Ukimbizi kwa Mataifa ya Kibeberu yenye Hasira ya Kiuchumi nasi baada ya kutuona tunashirikiana mno na Wachina ( China ) Kisha akawa sasa anamchafua Mzanzibari na Watu wake Kiutendaji?
6. Je, akiachiwa sasa Watanzania wengi ( hata kutoka Chamani Lumumba ) wanaomuonea / waliomuonea Huruma hawatopenda Kumjenga zaidi Kisiasa na Kipropaganda ili 2025 apishwe na Mzanzibari?
7. Je, akiachiwa sasa hawezi Kujitoa Mhanga kuwa liwalo na liwe na hata kama akiwahishwa Udongoni Kilimanjaro na Maadui zake ila Kwanza atahakkisha kuwa ameshatoa Siri nyingi za huko aliko, aliyoyasikia, aliyo na uhakika nayo na anayoyajua ambayo huenda 90% ya Watanzania hatuyajui na huenda tukiyajua basi iwe isiwe hiyo 2025 hata kama tutahongwa Khanga, Kofia, T-shirts, Boksa, Chupi, Lifti za Malori Mabovu ( Mkangafu ) na Pesa tutawaondoa rasmi wa Lumumba ( walio chini ya Mzanzibari ) na Kumkaribisha ama Mchagga wa Kilimanjaro au Mnyaturu wa Singida?
Binafsi nahisi kama ni Kumuachia basi labda ni kuanzia mwaka 2026 na kuanzia sasa ni mwendo tu wa Kurusha Kesi yake just to buy time kisha 2022 hii au 2023 ahukumiwe miaka Mitatu na aikose 2025 ambayo Mzanzibari anaitaka kwa Udi na Uvumba ili nae kama Mbeijing aweke Rekodi yake tofauti na sasa ambapo Kikatiba yuko kama Deiwaka tu japo kuna Wapuuzi wengi watalikataa / watalibishia.
Mtakaokereka na Uzi Kafeni Ukraine.
Hakuna wakumwamini polis hapo,polis wameua mtwara, polis hawasemi Kwa Nini Hamza aliwapiga risasi,polis wamekutwa na pesa za rushwa kwenye gari,Sasa nani atakaye waamini?..walitegemea kesi imepikwa vizuri na kwamba Mbowe atachafuka.
..badala yake wananchi wanaelekea kutokuamini chochote kile kinachosemwa na mashahidi wa polisi / jamhuri.
Hata nyerere aliitwa MhainiHayati Nelson Mandela pia aliitwa GAIDI.
View attachment 2130945
Tutaanzia tulipoishiaKiachiwa moto wa madai ya katiba unakolea upya.
Shukuru Mungu mnaishi kwa damu za watu.Tanzania hamna upinzani kuna wahuni tu
Kweli kabisa na hii ndiyo maana hamuwezi shida uchaguzi maana degree siyo ndiyo ambazo huhesabiwa wala wingi wa hisa za matajiri. Na kwa vile wanawake ni wengi kuliko wanaume na vijana hawana mda wa kwenda kupiga kura na ni vigeugeu- CCM itaendelea kushinda chaguzi zote.
Hakuna kitu watawala huchukia kama upizani hasa wanapodai haki na uhuruTanzania hamna upinzani kuna wahuni tu
Mbali ya yote uliyosema, bado kumwachia ni turufu kuliko kumfunga Mtu ambaye DUNIA nzima inajua Hana hatia.1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama?
2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa?
3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025?
4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda ya Kimkakati ya Kummaliza Mzanzibari katika Medani ya Kisiasa hasa kuelekea 2025?
5. Je, akiachiwa sasa hawezi Kutoroka nchi na Kuomba Ukimbizi kwa Mataifa ya Kibeberu yenye Hasira ya Kiuchumi nasi baada ya kutuona tunashirikiana mno na Wachina ( China ) Kisha akawa sasa anamchafua Mzanzibari na Watu wake Kiutendaji?
6. Je, akiachiwa sasa Watanzania wengi ( hata kutoka Chamani Lumumba ) wanaomuonea / waliomuonea Huruma hawatopenda Kumjenga zaidi Kisiasa na Kipropaganda ili 2025 apishwe na Mzanzibari?
7. Je, akiachiwa sasa hawezi Kujitoa Mhanga kuwa liwalo na liwe na hata kama akiwahishwa Udongoni Kilimanjaro na Maadui zake ila Kwanza atahakkisha kuwa ameshatoa Siri nyingi za huko aliko, aliyoyasikia, aliyo na uhakika nayo na anayoyajua ambayo huenda 90% ya Watanzania hatuyajui na huenda tukiyajua basi iwe isiwe hiyo 2025 hata kama tutahongwa Khanga, Kofia, T-shirts, Boksa, Chupi, Lifti za Malori Mabovu ( Mkangafu ) na Pesa tutawaondoa rasmi wa Lumumba ( walio chini ya Mzanzibari ) na Kumkaribisha ama Mchagga wa Kilimanjaro au Mnyaturu wa Singida?
Binafsi nahisi kama ni Kumuachia basi labda ni kuanzia mwaka 2026 na kuanzia sasa ni mwendo tu wa Kurusha Kesi yake just to buy time kisha 2022 hii au 2023 ahukumiwe miaka Mitatu na aikose 2025 ambayo Mzanzibari anaitaka kwa Udi na Uvumba ili nae kama Mbeijing aweke Rekodi yake tofauti na sasa ambapo Kikatiba yuko kama Deiwaka tu japo kuna Wapuuzi wengi watalikataa / watalibishia.
Mtakaokereka na Uzi Kafeni Ukraine.
Haki yatakiwa PIA ionekane inatendekaMawakili 500 + mitandao + jumuia ya ulaya + maaskofu wasio na makanisa + maprofessa wastaafu + mitandao BADO Mbowe akakutwa na kesi ya kujibu halafu mnakuja kutuigia ngojera hapa.
Mbwa koko kama wewe unaweza kutumia lugha yoyote kwa sababu us^&enge ndio ustaarabu wa bitches like u!Wananchi wapi?
Nyumbu labda
Mnaombea UGAIDI? MTAUPATA MBONA KENYA TAYARI WAPOGaidi ni mtu hatari mno
Wanaota ndoto kama za mwendazake aliyekuwa anaota kuwa atabadili katiba atawale mikeleMkakati ni kumfunga Cheaman kwa ugaidi halafu team Msajili akifute chama kwa ugaidi wa chea.
Wazalendo Pati kuwa chama kikuukuu cha upemzani.
Hii ndo turufu ya kijani kuendelea kutawala wadanganyika
Wamedhamiria na wanatekeleza msidharauWanaota ndoto kama za mwendazake aliyekuwa anaota kuwa atabadili katiba atawale mikele
Naona insider umepata kona ya kuspinn kama ikivyofanyika kwa Muungwana[emoji1787]1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama?
2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa?
3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025?
4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda ya Kimkakati ya Kummaliza Mzanzibari katika Medani ya Kisiasa hasa kuelekea 2025?
5. Je, akiachiwa sasa hawezi Kutoroka nchi na Kuomba Ukimbizi kwa Mataifa ya Kibeberu yenye Hasira ya Kiuchumi nasi baada ya kutuona tunashirikiana mno na Wachina ( China ) Kisha akawa sasa anamchafua Mzanzibari na Watu wake Kiutendaji?
6. Je, akiachiwa sasa Watanzania wengi ( hata kutoka Chamani Lumumba ) wanaomuonea / waliomuonea Huruma hawatopenda Kumjenga zaidi Kisiasa na Kipropaganda ili 2025 apishwe na Mzanzibari?
7. Je, akiachiwa sasa hawezi Kujitoa Mhanga kuwa liwalo na liwe na hata kama akiwahishwa Udongoni Kilimanjaro na Maadui zake ila Kwanza atahakkisha kuwa ameshatoa Siri nyingi za huko aliko, aliyoyasikia, aliyo na uhakika nayo na anayoyajua ambayo huenda 90% ya Watanzania hatuyajui na huenda tukiyajua basi iwe isiwe hiyo 2025 hata kama tutahongwa Khanga, Kofia, T-shirts, Boksa, Chupi, Lifti za Malori Mabovu ( Mkangafu ) na Pesa tutawaondoa rasmi wa Lumumba ( walio chini ya Mzanzibari ) na Kumkaribisha ama Mchagga wa Kilimanjaro au Mnyaturu wa Singida?
Binafsi nahisi kama ni Kumuachia basi labda ni kuanzia mwaka 2026 na kuanzia sasa ni mwendo tu wa Kurusha Kesi yake just to buy time kisha 2022 hii au 2023 ahukumiwe miaka Mitatu na aikose 2025 ambayo Mzanzibari anaitaka kwa Udi na Uvumba ili nae kama Mbeijing aweke Rekodi yake tofauti na sasa ambapo Kikatiba yuko kama Deiwaka tu japo kuna Wapuuzi wengi watalikataa / watalibishia.
Mtakaokereka na Uzi Kafeni Ukraine.
2020 election pale nyumbu project walikusanywa askari wakaenda kufungiwa sehemu wakapiga kura zikasafirishwa kwenye ma box kupelekwa Mbeya, tunduma, iringa, Hai, Arusha mjini, Tarime, Kawe, Ubungo, Segerea.Malori na matisheti za hawa jamaa huwa ni geresha tu. Wanaopiga kura wanajulikana ni watu wa.......
Where is verdictNi gaidi si amekutwa na kesi ya kujibu!?