2020 election pale nyumbu project walikusanywa askari wakaenda kufungiwa sehemu wakapiga kura zikasafirishwa kwenye ma box kupelekwa Mbeya, tunduma, iringa, Hai, Arusha mjini, Tarime, Kawe, Ubungo, Segerea.
Walikuwa ni askari zaidi ya 100. Na walifanya hiyo kazi bila malipo na wamedai mpaka leo hawajalipwa.