OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nikirudi kuchangia maada Yanga anahitaji kushinda tu mechi zake bila kujali nani anafanya nini, bila shaka nyie ndio mlikuwepo kwenye mkutano wa Mzee Rage na siku analetwa Manzoki kwenye uchaguziNaona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Na sio scientific calculator tu. Inabidi iyo scientific iwe inachora mpaka graph na kusolve probability.😁Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Anae teseka ni nyieSiku hizi mashabiki wa Yanga wanatembea na Bunda la Rim paper na peni..... ukiwagusia tu habari za Caf wanatoa karatasi na peni wanaanza kupiga mahesabu hapo.
Mbumbumbu akili zao ni ndogo wamesahau kundi A hata Mazembe ana nafasi ya kwenda roboLast game ni Yanga Vs MC Algiers Kwa Mkapa.
Hii Game Yanga anahitaj Zaid ya goal mbil atakiw ashafuzu.
Al hilal Vs Yanga. Hii game tunachukua point. 3
Huyu kila jambo lake hua linakwenda kinyumeMhasibu weka akiba ya maneno, utakimbia uzi wako
Ugumu unakuja pale zinapigwa hesabu za kupita bila kumfunga Hilal.Nikirudi kuchangia maada Yanga anahitaji kushinda tu mechi zake bila kujali nani anafanya nini, bila shaka nyie ndio mlikuwepo kwenye mkutano wa Mzee Rage na siku analetwa Manzoki kwenye uchaguzi
Al Hilal ni nani kwamba hafungiki?Ugumu unakuja pale zinapigwa hesabu za kupita bila kumfunga Hilal.
Ikitokea Mc Algiers akamfunga Tp Mazembe goli 2 au 3 kwake Yanga atatakiwa kushinda magoli mangapi mechi ya mwisho?Last game ni Yanga Vs MC Algiers Kwa Mkapa.
Hii Game Yanga anahitaj Zaid ya goal mbil atakiw ashafuzu.
Al hilal Vs Yanga. Hii game tunachukua point. 3
Nimesikia kuws Mazembe amesema haendi kwa alichofanyiwa kwa Mkapa! Ni Bora amuachie MC alger Amfunge apite kuliko Yanga Apite😝🤓Mbumbumbu akili zao ni ndogo wamesahau kundi A hata Mazembe ana nafasi ya kwenda robo
Nimeangalia hiyo clip,wamesema wao wataachia wafungwe na mc algiers wapite maana hawaendi popoteNimesikia kuws Mazembe amesema haendi kwa alichofanyiwa kwa Mkapa! Ni Bora amuachie MC alger Amfunge apite kuliko Yanga Apite😝🤓
Anafungika vizuri tu ila maoni ya wengi ukiyasoma kisaikolojia walitaka wakutane na Hilal aliye jikita kileleni siye huyu aliyetoa drooAl Hilal ni nani kwamba hafungiki?
Hii hoja tayari washaisahau😀😄😆Anafungika vizuri tu ila maoni ya wengi ukiyasoma kisaikolojia walitaka wakutane na Hilal aliye jikita kileleni siye huyu aliyetoa droo