ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nyinyi mkipigwa mnaenda robo si ndio?Florent ibenge "Master tactician" anataka kuongoza kundi kwa pointi nyingi so huo mchezo na uto hawezi kulegeza uzi.
Kumbuka yanga hawatalinda na wala hawatakaa nyuma watafunguka na ibenge anapenda sana umshambulie wewe kuliko yeye akushambulie wewe.
Kumbuka uto akipigwa na ibenge imeisha.