Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Ni hesabu nyepesi tu labda kwa wale wasiojua mahesabu ndio wanahitaji calculator. AngaliaNaona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto