Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga

Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom