Mazembe ipi?Mbumbumbu akili zao ni ndogo wamesahau kundi A hata Mazembe ana nafasi ya kwenda robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe ipi?Mbumbumbu akili zao ni ndogo wamesahau kundi A hata Mazembe ana nafasi ya kwenda robo
Fainali kombe gani?sisi robo sio story maana tumecheza fainali sijui unaongea nini
La looserFainali kombe gani?
Tunaongelea champions league huwezi kuijua wewe wa kombe la looserMazembe ipi?
Utaomba na video za Yohana mbatizaji anavyobugia nzige.Weka video tuone
Miaka ile Simba tunafuzu robo fainali Kwa miaka minne mtawalia, Tulikuwa na slogan mbalimbali ikiwemo Kwa Mkapa hatoki mtuMwarabu anakuja kwa Mkapa na Msudani ndio tutamfata kwao ambako na yeye ni mgeni
Sahihi sana kaka; Yanga ilifanya makosa sana kuipoteza ile match na Wasudan. Hakika ni matokeo ya kujutia hadi leo; mlima uliobakia mrefu sana kuupandaMiaka ile Simba tunafuzu robo fainali Kwa miaka minne mtawalia, Tulikuwa na slogan mbalimbali ikiwemo Kwa Mkapa hatoki mtu
Yanga alifanya kosa kubwa sana kuruhusu kufungwa na Wasudan pale Kwa Mkapa
Wamefanya wawe na mlima mrefu wa kuupanda
Pole zaoSahihi sana kaka; Yanga ilifanya makosa sana kuipoteza ile match na Wasudan. Hakika ni matokeo ya kujutia hadi leo; mlima uliobakia mrefu sana kuupanda
Hakuna muujiza wowote wanahitaji kushinda tu mechi zaoPole zao
Kufika robo fainali watahitaji Muujiza
Ngoja tuone mwisho waoHakuna muujiza wowote wanahitaji kushinda tu mechi zao
Na IQ yake ndogo.Ila wewe jamaa thinking capacity yako hua ni ndogo sana basi tu watu hua hawakuambii mara kadhaa maandiko yako hua yana typing errors kibao hio ni sifa moja wapo ya mtu mkurupukaji
Aaaah Mwasibu feki CPA uchwara OKW BOBAN SUNZU umerudi tena kwa mtindo mpya.Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto
Hizo hesabu za yanga kufuzu haiwezekani mtaitesa bure calculator, hiyo calculator ni mwendo wa ku-stack na kutetemeka kama magobole kwenye movie za RamboNa sio scientific calculator tu. Inabidi iyo scientific iwe inachora mpaka graph na kusolve probability.😁
Hizo unazofanya ni hesabu za nini?Endeleeni kupiga hesabu za vidole. Jumamos Al Hilal anamkanda uto anafikisha pointi 13 uto anabaki na point zake 4
MC Alger anamkanda TP Mazembe anafikisha pointi 8 .
Mechi ya mwisho hata uto akimkanda Mc Alger magoli 100 hayatamsaidia Maana atafikisha pointi 7 ambazo MC Alger tayari atakuwa ameshazivuka
Biashara inaishia hapo . Uto anarudi kwenye Kazi yake maalumu tuliyoizoea (KAMATI YA MAPOKEZI)
Ukiwa huna akili kila hesabu unahitaji calculatorHizo hesabu za yanga kufuzu haiwezekani mtaitesa bure calculator, hiyo calculator ni mwendo wa ku-stack na kutetemeka kama magobole kwenye movie za Rambo