holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
bwana ee kila mtu apambane kivyake na uzuri tupo mashndano tofauti. Kwa hiyo kila mtu anahesabu zake ktk mashndano yake. Nb mashindano makubwa,mashindano magumu,timu ngumu,kufuzu kwa mbinde, na mahesabu makali.Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile ya Mangi bali ni Scientific Calculator kwa sababu hesabu zao zinahitaji matumizi ya Calculalus na Magazijuto