Hesabu ndogo sana; Kwanini Serikali iliwaamuru Polisi wasimtaje mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo hadi uchaguzi wa serikali za mitaa uishe

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao watakulinda. Kwa maneno mengine kuwa mtu wao kunakufanya uwe juu ya sheria.

Na kibaya zaidi, Polisi wanajua hilo, kwamba wakitaka kazi zao ziwe salama, basi waelewe kwamba watu wa chama tawala wako juu ya sheria. Hata wakiua, wakibaka, wakisafirisha wageni haramu, wakikutwa na madawa ya kulevya au nyara za serikali, wakifanya maandamano bila kibali, wakifanya lolote lile, hawapaswi kubugudhiwa.

Na Polisi wameambiwa tukio la kihalifu linapofanywa na mtu wa chama tawala basi watalitolea maelezo ambayo hayatakichafua chama tawala, hata kama inabidi waseme uongo. Kifo cha risasi au kupigwa kitabadilika kuwa kifo cha shinikizo la damu, nk.

Ndio maana basi, japo maneno makali kuhusu mmiliki wa jengo la Kariakoo yaliyotolewa na waziri mkuu, polisi walipowaambia watawala mmiliki wa jengo ni mmoja wenu katika chama, waliamriwa wakae kimya hadi uchaguzi wa serikali za mitaa upite. Jitihada hata zilifanyika kujaribu kubadilisha jina la mmiliki, na huenda zimefanikiwa tayari.

Hii ndio Tanzania yetu. Au Tanzania yao?
 
Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao watakulinda. Kwa maneno mengine kuwa mtu wao kunakufanya uwe juu ya sheria.

Na kibaya zaidi, Polisi wanajua hilo, kwamba wakitaka kazi zao ziwe salama, basi waelewe kwamba watu wa chama tawala wako juu ya sheria. Hata wakiua, wakibaka, wakisafirisha wageni haramu, wakikutwa na madawa ya kulevya au nyara za serikali, wakifanya maandamano bila kibali, wakifanya lolote lile, hawapaswi kubugudhiwa. Na Polisi waneambiwa tukio la kihalifu linapofanywa na mtu wa chama tawala basi watalitolea maelezo ambayo hayatakichafua chama tawala, hata kama inabidi waseme uongo. Kifo cha risasi au kupigwa kitabadilika kuwa kifo cha shinikizo la damu, nk.

Ndio maana basi, japo maneno makali kuhusu mmiliki wa jengo la Kariakoo yaliyotolewa na waziri mkuu, polisi walipowaambia watawala mmiliki wa jengo ni mmoja wenu katika chama tawala, waliamriwa wakae kimya hadi uchaguzi wa serikali za mitaa upite. Jitihada hata zilifanyika kujaribu kubadilisha jina la mmiliki, na huenda zimefanikiwa tayari.

Hii ndio Tanzania yetu. Au Tanzania yao?
Kwani mmiliki nani?
 
Nchi iko mikononi kwa genge la kihalifu kuanzia ikulu mpaka chini
Lakini ukitaka kujua Watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili, utaona hata wale waliofiwa na watu jengo la Kariakoo, au majeruhi, kesho watakuwa barabarani wakipayuka kuwasifia watawala, bila kujali kabisa kwamba lililotokea Kariakoo ni uzembe na kiburi cha watawala kutojali ushauri wa wataalamu walitoa taarifa tangu mwaka 2006 juu ya hatari za majengo ya Kariakoo! Hawakutaka yabomolewe kwa sababu wao ndio wamiliki.
 
Lakini ukitaka kujua Watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili, utaona hata wale waliofiwa na watu jengo la Kariakoo, au majeruhi, kesho watakuwa barabarani wakipayuko kuwasifia watawala, bila kujali kabisa kwamba lililotokea Kariakoo ni uzembe na kiburi cha kutojali ushauri wa wataalamu walitoa taarifa tangu mwaka 2006 juu ya hatari za majengo ya Kariakoo! Hawakutaka yabomolewe kwa sababu wao ndio wamiliki.
Nchi inaendeshwa na wafanyabishara wa biashara haramu
 
Huna chochote unachojua kuhusu mmililik wa hilo jengo, zaidi ni habari za mtaani huko hata kama kweli mmiliki ni mwanachama wa chama tawala kwani ni dhambi?
Kiufupi umeandika nadharia eti umiliki unabadilishwa! Ungekuwa unajua mmiliki halali ambaye anafanya hizo jotihada za kubadili umiliki ungemtaja humu jamvini!!! Ungekuwa unajua taarifa za uhakika ungezianika hapa, huna lolote unalojua!!! Hili ni jukwaa huru ambalo uozo wowote unaweza kuuanika wazi!!!!
Otherwise acha jeshi la polisi na vyombo vinavyofanya uchunguzi vifanye kazi yao!!!!
 
Kwani mie nimemtaja hapo? Kwa taarifa yako, Polisi wanamjua, lakini hawataki kumtaja. Umejiuliza kwa nini?
 
Ndivyo watawala wa chama tawala wanavyoendesha nchi hii. Makosa yanayofanywa na watu wao huwa kila jitihada itafanywa kuyafunika. Na hawaoni aibu juu ya hili, huwa wanasema waziwazi ukiwa mtu wao watakulinda. Kwa maneno mengine kuwa mtu wao kunakufanya uwe juu ya sheria.

Na kibaya zaidi, Polisi wanajua hilo, kwamba wakitaka kazi zao ziwe salama, basi waelewe kwamba watu wa chama tawala wako juu ya sheria. Hata wakiua, wakibaka, wakisafirisha wageni haramu, wakikutwa na madawa ya kulevya au nyara za serikali, wakifanya maandamano bila kibali, wakifanya lolote lile, hawapaswi kubugudhiwa.

Na Polisi waneambiwa tukio la kihalifu linapofanywa na mtu wa chama tawala basi watalitolea maelezo ambayo hayatakichafua chama tawala, hata kama inabidi waseme uongo. Kifo cha risasi au kupigwa kitabadilika kuwa kifo cha shinikizo la damu, nk.

Ndio maana basi, japo maneno makali kuhusu mmiliki wa jengo la Kariakoo yaliyotolewa na waziri mkuu, polisi walipowaambia watawala mmiliki wa jengo ni mmoja wenu katika chama, waliamriwa wakae kimya hadi uchaguzi wa serikali za mitaa upite. Jitihada hata zilifanyika kujaribu kubadilisha jina la mmiliki, na huenda zimefanikiwa tayari.

Hii ndio Tanzania yetu. Au Tanzania yao?
Hakuna anayeishi milele mwishowe wote ni mifupa tu
 
Huna chochote unachojua kuhusu mmililik wa hilo jengo, zaidi ni habari za mtaani huko hata kama kweli mmiliki ni mwanachama wa chama tawala kwani ni dhambi?
Kiufupi umeandika nadharia eti umiliki unabadilishwa! Ungekuwa unajua mmiliki halali ambaye anafanya hizo jotihada za kubadili umiliki ungemtaja humu jamvini!!! Ungekuwa unajua taarifa za uhakika ungezianika hapa, huna lolote unalojua!!! Hili ni jukwaa huru ambalo uozo wowote unaweza kuuanika wazi!!!!
Otherwise acha jeshi la polisi na vyombo vinavyofanya uchunguzi vifanye kazi yao!!!!
Nimekukubali sana mleta mada hana hajualo ni chuki wivu na husda vina mue ndesha
 
Lakini ukitaka kujua Watanzania wengi wana tatizo la afya ya akili, utaona hata wale waliofiwa na watu jengo la Kariakoo, au majeruhi, kesho watakuwa barabarani wakipayuka kuwasifia watawala, bila kujali kabisa kwamba lililotokea Kariakoo ni uzembe na kiburi cha watawala kutojali ushauri wa wataalamu walitoa taarifa tangu mwaka 2006 juu ya hatari za majengo ya Kariakoo! Hawakutaka yabomolewe kwa sababu wao ndio wamiliki.
Kwa mfano wewe ndio ungekuwa umefiwa na ndugu yako katika hilo jengo ungefanya nini?
 
Kwani mie nimemtaja hapo? Kwa taarifa yako, Polisi wanamjua, lakini hawataki kumtaja. Umejiuliza kwa nini?
Sasa unacholalamikia ni nini??
Polisi si bado wanaendelea na uchunguzi wamemaliza kwani? Na kama unajua polisi wanamjua na hawataki kumtaja kwa nini wewe usimtaje basi humu..?? Btw kwani kama ni kumjua unadhani inashindikana? Wapo wapangaji walikuwa pale na wanafahamika, mafundi waliokuwa wanafanya kazi pale wanafahamika, majirani n.k wote hao unataka kusema hawamjui mmiliki..? Hayo mambo ya sijui polisi wanamjua hawataki kumtaja hizo ni stori za vijiweni tu!! Kumjua mmiliki haihitaji polisi wautangazie umma, wewe sema hapa mmililiki ni nani huyo unayesema eti polisi wanamficha unless, unachosema ni umbeya tu!!!!
 
Back
Top Bottom