75000 baada ya kutoa gharama zote?Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ?
Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana .
Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
Hahahaaa... Yaani wewe!vipuri ndo nini?
Spare parts😅nieleweshe,
afu vipuri ndo nini?
Kwani pm amekujibu hajaelewa?Nimekutumia PM nilipopiga hesabu.
Kiuchumi hayo ndo makusanyo mapya lkn ukiamua kuongeza zaidi ya hapo ni wewe mwenyewe
Glenn mshamba_hachekwi njoo mtusaidie hesabu
Usi copy na ku paste kaa chini piga hesabu mwenyewe, usidhani hesabu zinafanana, ukiwaiga watu humu unaweza kuyumba kibiasharaNaomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ?
Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana .
Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
Katibu mkuu wa chama hujui vipuri ni wingi wa neno PURinieleweshe,
afu vipuri ndo nini?
Asante kwakumeguamegua hii hesabu maana wengine ni slow learner700-550=150
150/550 x 100%= 27%
Ongezeko la asilimia 27 %
27% ya 75000 ni 20000
So 75000+20000=95,000/-
Makadirio ni 95,000/-
Faida haiwezi kuongezeka nyingi hivyoAsante kwakumeguamegua hii hesabu maana wengine ni slow learner
nauli imepanda kutoka sh 100 mpaka 150.Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ?
Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana .
Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa siku nakusanya 75000 kwa kila daladala, Niongeze kiasi gani kwa haya mabadiriko ya nauli yalitangazwa .
vipuri ni vifaa vya mashine mbalimbali kama magari, trekta na mitambo mbalimbali kama ilivyo vifaa vya Ujenzi au zana za kilimo.nieleweshe,
afu vipuri ndo nini?
yupo sahihi ni vipuri sio vipulinieleweshe,
afu vipuri ndo nini?