Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„
 
Hawa saidia fundi wa kulipwa 7000 kwa siku mnawapata nchi gani?

Kampuni yangu inalipa 15000 - 20000 per day.

Kumlipa mtu 7000 ni unyonyaji ulio wa kiwango cha
Waje na gari wapi, wkt kesho yake anaomba 1000 ya supu
 
Halafu hapo wanawaza kupakia Lori zima kupeleka sehemu nyingine, maana wameshusha matofali kwenye wrong address
Hapo ndio utajua sasa uendelee kuhesabu hela au unawe kabisa
 
Huku mtaani ukisikia watu wanapiga kelele wametapeliwa walikalishwa chini wakapigiwa hesabu kama hizi, alafu muda huo akili siji huwa inawaza nini, huwa hawashtuki!!
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Njoo nikuajiri ntakulipa 10k/day ila shart moja baada ya mwezi unionyeshe hata TVS tu...
 
Eti Kwa wiki 7,000Γ—7=49,000 alafu kwa mwezi 49,000Γ—30( kwahiyo mwezi una wiki 30?)

Ungerahisisha kuchukua 7,000Γ—365=2,555,000
Hela ambayo hata bodaboda hununui
Hata hivyo hiyo concept inaweza kutumika kwa Robot pekee. Kwa binadamu kuna barriers nyingi sana. Kwanza binadamu huwezi kufanya kazi week/ Mwezi mzima bila kupumzika. Pili, kazi ya saidia fundi au kibarua ni bahati kuna siku huchaguliwi. Tatu, kuna kuugua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…