Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
 
Usiseme tu Mechi 4 sema Mechi nne Ngumu 🤣🤣🤣
 
Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Team zingine wakati huo zinabaki zimesimama sio? Jiandae kwa dissapointment
 
Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Mazembe ndio kashikiria tiketi ya yanga robo fainali maana iko hivi, Atacheza na tp kongo 14/12/2024 baada ya hapo anakuja tena kucheza nao dar 3/1/2025 kwahiyo ilikurudisha matumaini anatakiwa ashinde hizo mechi atakuwa na point sita.

Hapo atabakiza moja home na moja away sasa hapo anatafuta point tatu za home anakuwa na point tisa .
 
kila mmoja ashinde mechi zake asiombee wengine
 
Mazembe ndio kashikiria tiketi ya yanga robo fainali maana iko hivi, Atacheza na tp kongo 14/12/2024 baada ya hapo anakuja tena kucheza nao dar 3/1/2025 kwahiyo ilikurudisha matumaini anatakiwa ashinde hizo mechi atakuwa na point sita.

Hapo atabakiza moja home na moja away sasa hapo anatafuta point tatu za home anakuwa na point tisa .
sawa wamekuelewa mkuu
 
Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Mmesha tolewa nyuma mwiko
 
Hata point 9 au 8 anaweza kwenda ingaqa 10 ndio uhakika inategemea na matokeo ya wapinzani.. ikitokea leo hilal ba mazembe wamesare maana yake hata point 9 anaweza kutoboa
 
Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Lea TP mazembe anashinda
 
Hilal akishinda leo dhidi ya Mazembe kazi itakuwa imekwisha. Hilal 6points MCA 4points Mazembe 1 point Yanga 0.
Matokeo yakiwa hivyo game ya Lubumbashi itakuwa ngumu mno kwa wote wawili Yanga na Mazembe
 
Back
Top Bottom