Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

Yanga kabakiza mechi 4.

Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.

Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.

Anatakiwa kupata sare mechi 1.

Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.

Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.

Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Under ceteris paribas sio😀😀😀
 
Screenshot_20241208-122626.jpg
 
Yanga walioksoea sana kwenye mikataba ya wachezaji; imewafanya wasiwe na haja ya kujituma tena kwa vile wakitimuliwa wanakimbilia FIFA na kuishia kulipwa pesa bila kufanya kazi yoyote.Yanga inahitaji mwanasheria mzuri sana wa kupika mikataba ambayo wachezaji wasipojituma wanaondolewa mara moja bila kuwa na mwanya wa kukimbilia FIFA. Sasa hivi wacheazji nyota wa Yanga wameshapata walichotaka na wala hawaoni haja ya kufanya kazi tena.
 
Back
Top Bottom