sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Usiseme tu Mechi 4 sema Mechi nne Ngumu 🤣🤣🤣Yanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Team zingine wakati huo zinabaki zimesimama sio? Jiandae kwa dissapointmentYanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Yanga kabakiza mechi 4.

Akifungwa Congo hesabu zitakuwa ngumu sana kwakeYanga anaenda kuzikwa Congo.
kila mmoja ashinde mechi zake asiombee wengineYanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
sawa wamekuelewa mkuuMazembe ndio kashikiria tiketi ya yanga robo fainali maana iko hivi, Atacheza na tp kongo 14/12/2024 baada ya hapo anakuja tena kucheza nao dar 3/1/2025 kwahiyo ilikurudisha matumaini anatakiwa ashinde hizo mechi atakuwa na point sita.
Hapo atabakiza moja home na moja away sasa hapo anatafuta point tatu za home anakuwa na point tisa .
Mmesha tolewa nyuma mwikoYanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Hata point 9 au 8 anaweza kwenda ingaqa 10 ndio uhakika inategemea na matokeo ya wapinzani.. ikitokea leo hilal ba mazembe wamesare maana yake hata point 9 anaweza kutoboaYanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Lea TP mazembe anashindaYanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Dobii dobiiimtatusema sana mwaka huu!