Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

Under ceteris paribas sio😀😀😀
 
Yanga walioksoea sana kwenye mikataba ya wachezaji; imewafanya wasiwe na haja ya kujituma tena kwa vile wakitimuliwa wanakimbilia FIFA na kuishia kulipwa pesa bila kufanya kazi yoyote.Yanga inahitaji mwanasheria mzuri sana wa kupika mikataba ambayo wachezaji wasipojituma wanaondolewa mara moja bila kuwa na mwanya wa kukimbilia FIFA. Sasa hivi wacheazji nyota wa Yanga wameshapata walichotaka na wala hawaoni haja ya kufanya kazi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…