Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

Wanajamvi wasalaam.

Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.

Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.

👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine ukanda wa sub sahara.
👉Reserve ipo stable, hivyo hakuna tishio kwa wawekezaji.
👉Inflation iko undercontrol kuliko nchi zote za east africa.
👉Deni la serikali bado liko kwenye standard ya nchi zenye madeni madogo sana na linalipwa on time.

👉 Sera za monetary and fiscal policies zinafuatwa kwa usahihi, niko controlled.

Hii sio bahati mbaya bali ni matokeo ya management nzuri inayofanywa na wizara ya fedha chini ya Dkt Mwigulu Nchemba.


Muda ni hakimu mwema.
Hauna pdf ya hio report
 
Kuna mtu ananiuliza hata huko WB na IMF unaweza kununua data as if zile honorable PhD ?
Ukisikia kutongozwa ndio huko:
Sisi tuliokulia kijijini tunajua vzr unampamba mwanamke ili umkule, haya mambonya hela yamekuja juzi ya kuhonga..
WB, IMF n.k ni mikono ya wazungu kutuibia hivyo wanapoaanza kukutongoza wanawatumia wanatupamba mwisho wanapita na raw material zetu kiulaiiiini.

Reflection ya uchumi haikomei makaratasi tu njoo ground watu wanaishije? Sawa inflation inasemekana imeongezeka kwa 5% . Je ni kweli ? Mchele 2022 januari uliuzwa sh ngapi na je ni kweli kuna ongezeko la 5%? Bei ya fuel ikoje, nauli za mikoani. Formula inayopima uchumi wa nchi inajumuisha nini?

Kifupi maisha yanakaza. Sisi watu wa biblia tunajua hata afanyeje Rais wetu maisha yataendelea kukaza na kukaza na kukazaaaa as long tunaelekea miisho ya dunia
 
... Sisi watu wa biblia tunajua hata afanyeje Rais wetu maisha yataendelea kukaza ...
Mkuu hiyo sehemu imenifanya nikazoom avatar yako kwanza..
Screenshot_2023_0215_091334.jpg
 
Alishindwa elezea TRAB na TRAT nilimshusha thamani sana. Afu hizo report haandai yeye asee zinaandaliwa na vijana makini pale BOT na wizarani. Waziri anapiga simu tu anatumiwa report anaisoma.
 
Wanajamvi wasalaam.

Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.

Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.

[emoji117] Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine ukanda wa sub sahara.
[emoji117]Reserve ipo stable, hivyo hakuna tishio kwa wawekezaji.
[emoji117]Inflation iko undercontrol kuliko nchi zote za east africa.
[emoji117]Deni la serikali bado liko kwenye standard ya nchi zenye madeni madogo sana na linalipwa on time.

[emoji117] Sera za monetary and fiscal policies zinafuatwa kwa usahihi, niko controlled.

Hii sio bahati mbaya bali ni matokeo ya management nzuri inayofanywa na wizara ya fedha chini ya Dkt Mwigulu Nchemba.


Muda ni hakimu mwema.
Mimi ile figure ya mfumuko wa bei nakataa siyo ya kweli.Yule Mkurugenzi Mkuu wa kudumu wa NBS Nina mashaka nae sana na statistics zake,kama siyo za kupikwa basi Mungu anajua.
 
Back
Top Bottom