Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Ni katika kukumbushana tuu ”Huyu mama... mi nikamwangalia tuu”!.Hii Sio Lugha ya Mimbarini!,ni Lugha ya Kijiweni!. Rais wa Nchi ni Rais,Sio Huyu Mama!,Lazima Aheshimiwe na Wote!
P
 
Samia is not humble, ina maana wewe hujui tabia zake? Mmoja wa shangazi za rafiki yangu alifanya kazi na Samia kule Zanzibar, anamjua vizuri personality yake. Rais huyu ni wa ovyo, kimsingi hafai.
Heshima kitu cha bure hawezi kuwa wa ovyo na hafai wakati mpaka hapa ameisha tufaa sana tuu!。
P
 
Ndiyo, ndiyo. Ni Rais wa nchi yetu, hata kama kuna mapungufu,siamini ni yake bali ni mfumo anaouongoza
 
Ndiyo, ndiyo. Ni Rais wa nchi yetu, hata kama kuna mapungufu,siamini ni yake bali ni mfumo anaouongoza
hili neno!,kuna wengi wanadhani rais ni mtu tuu,Dr Samia Suluhu Hassan,kukitokea mapungufu au makosa,wanamnyooshea vidole yeye,kumbe hawajui rais wa JMT
sio mtu, ni taasisi,kikiharibika kitu,its a system,ni mfumo!na sio mtu!
P
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
This is uncalled for!.
P
 
Yani kina mdude hatujui walipo mzee Ally KIBAO kauwawa kinyama halafu unatukataza tusilie msibani?
 
Onyesha basi hata kuguswa na vifo vya wapendwa wetu kama chief comforter hivi diwani mbunge rais gani ataenda KUOMBA kura maeneo ambayo watu 83 wameuwawa au kupotezwa?
 
Uchambuzi bora kabisa kwa wakati sahihi! Raia mwema anajisikia wajibu kumsitiri kiongozi wake maana kiongozi wa nchi ni sura ya nchi. Unapomdhalilisha rais wa nchi, unaidhalilisha nchi. Ni kweli viongozi wetu sio malaika na wanaweza kufanya makosa, lakini tunaowajibu wa kuwakosoa kwa staha, kwa maslahi ya nchi yetu.
 
Mkuu Dr. Adamu Dr Adam Francis, asante sana, ubarikiwe!.
P
 
Toka ameingia madarakani kwa bahati mbaya, watu wanatekwa, wanalawitiwa, wanabakwa, wanateswa na wanauawa....Wote hawa hatujui makosa yao. Huyo rais wako na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kama anahitaji heshima aache vitendo vya kihuni vya kuumiza watanzania, na wale aliowapoteza awarudishe, aidha wakiwa hai au siyo, na atueleze kwanini walikamatwa. Paskali wakati wa uteuzi naona umekaribia.
 

Kwani ni yeye?, vitendo hivyo vinafanywa na watu wasiojulikana.
P
 
Mwendazake alipendwa na watanzania akapendeka sio huyu Rubbish President aliyejaza mabango barabara yakimpromoti km Soda ya koka kola..
Wee Yoso, shika adabu yako na ikushike!.
P
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…