GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,129
Reaction score
4,285
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
 
Itategemea na pressure itakavyokuwa hiyo nafasi imeachwa makusudi ili ikitokea pressure imekuwa kubwa wafanye reform Ila ikiwa ndogo wapite kimya kimya
 
Itafika wakati wote tutaongea lugha moja

#No reforms no election
Screenshot_2025-06-22-19-25-23-1.png
 
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.

Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.

Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.

Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
Hivi Gwajiboy alikuwemo????
 
Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.
 
Back
Top Bottom