Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
We ndo umeongeaLeo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.